Elections 2010 Sikio La Kufa Halisikii Dawa

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Ndugu Watanzani wenzangu kuna gharama kubwa mno tutalazimika kulipa kwasababu ya ukaidi wa mgombea wa Chama cha Mafisadi (CCM) kukumbatia Mafisadi.Orodha yao ni ndefu mno walionadiwa na kuombewa kura na JK. Alipaswa afanye angalau ''Usanii" wa kuuchukia ufisadi hadharani kama ana ushirika nao nyuma ya pazia. Kulikua kuna haja gani ya kwenda Monduli/Rombo/Bariadi na kule Igunga? Kweli Sikio la kufa Halisikiii Dawa! Nitakwenda kupiga kura Tarehe 31 kuwaondoa Mafisadi walioshikwa mikono juu kwa kisingizio cha kudanganywa eti walisingiziwa!!! "MUNGU IBARIKI TANZANI!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom