Sikinde ya Kweli!!!!!

Jets1+972.jpg


Hawa ndio The Jets (1972), ambao baadae walikuja kuwa STC Jazz, ambayo ndio chanzo cha Biashara Jazz. Waliopo hapa wa kwanza Belino, Raphael Sabuni, Mgoro katika moja ya maonyesho yao. Marijanio Rajab alijiunga na kundi hili, na kuimba wimbo kama....GEORGINA...ulotungwa na HURUKA UVURUGE
 
Hii imetulia sana.

Jamani hakuna mtu mwenye audio tracks za Super Rainbow? Si mnamkumbuka Eddie Shaggy?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom