Sikiliza story ya Tippu Tip

Hii story ni upotoshaji mwengine wa kihistoria.Wazungumzaji wakiwa ni BBC ndio kabisa haifai kwani wanataka kujikosha na biashara yao iliyowatajirisha.Haina ladha ya kusikiliza kwani ilipaswa isomwe kwa kiswahili halisi alichozungumza ambacho mimi naweza kuelekeza.
Mimi ninayo kopi ya kitabu chake na ukisoma kwa undani hakuna sehemu alipojitaja kama mfanyabiashara ya utumwa.Hata hii story yenyewe imeanza na ukweli wenyewe kwa kutaja ivory badala ya watumwa.Angalia kwenye kitabu hicho anavyolalamika kwa uwongo aliosingiziwa na wazungu aliowafadhili kama wageni wake akina Livingstone na Gryson.
 
Back
Top Bottom