Huyu mama anajitahidi saana.
BBC Swahili - Medianuai - Balozi Mwanaidi Maajarhttp://www.bbc.co.uk/emp/pop.html
BBC Swahili - Medianuai - Balozi Mwanaidi Maajarhttp://www.bbc.co.uk/emp/pop.html
Huo ni mtazamo mmoja lakini kama unakumbuka hivi karibuni aliandaa kongamano kubwa saana lengo hasa lilikuwa ni kuvutia investment. Yale kwangu pia ni mafanikio. Lakini hili la UK kuporomoka toka nafasi ya kwanza inawezekana investors kutoka mataifa mengine yameongezeka na si kwamba investment kutoka UK imepungua.
Huyu mama anajitahidi saana.
BBC Swahili - Medianuai - Balozi Mwanaidi Maajarhttp://www.bbc.co.uk/emp/pop.html