Sikiliza Mahojiano na Sheikh Farid wa Jumuia ya Uamsho Zanzibar

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
483100_422489841139514_1213134152_n.jpg


Sikiliza mahojiano Kati ya Sheikh Faridi na Muandishi wa Sauti ya Ugerumani Bi Salma Saidi

Bonyeza

http://www.mzalendo.net/wp-content/uploads/2012/10/SHEIKH-FARID-HADI-AHMED.mp3
 
Naomba tujadili bila matusi, nimesikiliza kauli za Amir katika mahojiano yake ila kuna mambo kadhaa ambayo sijayaelewa na naomba mnaojua mnijuze.

Kama alitekwa na kufungwa mikono kwa pingu na kufunikwa uso na wakati huo huo akaweza kwenda chooni na akanywa maji ya mferejini kama alivyosema, je aliwezaje kufungua bomba huku mikono ikiwa imefungwa, na kama aliweza kufungua bomba alishindwa vipi kufungua kitambaa usoni na kuchungulia nje ili kujua sehemu alipokuwa.

Na je huko msalani alijisaidia vipi haja ndogo na kubwa, ni nani aliemvua suruali au kumshikia nanii wakati anajisaidia. na kama hivyo vitu vyote nilivyosema hapo juu alisaidiwa na mtu, ni kwa nini alalamiki kudhalilishwa kijinsia.

Kama baada ya kumrudisha walimfungua usoni alishindwa vipi kusoma namba za gari lililotumika kumteka. Dereva wake anasema kuwa Amir alipotea wakati anaenda kununua umeme wakati Amir anasema yeye mwenyewe ndio alikwenda kununua umeme, swali kati ya Farid na dereva ni nani hasa aliekwenda kununa umeme.

Ndugu zangu imefika wakati tutafakari haya mambo ambayo yanafanywa na hawa wenzetu ili tusiingie kwenye mitego ya watu wachache ambao wana malengo yao binafsi.
 
hili ni igizo la FUTUHI.
Jana walivyotoa masaa 26 kwa serikali imuachie Fareed nikagundua tayari Shekh huyu ameshachoka kujificha.
 
Ukimuangalia usoni huyu jamaa haikupi shida kugundua kuwa ni mchawi. Anatumia nguvu za majini na kutoweka kwake alikuwa chini ya bahari akifanya tambiko za kuzimu na majini wake na wachawi wenzake...

Kama kuna kosa ambalo linafanyika (na serikali, wananchi na hata vyombo vya usalama vya nje), ni kumuacha huyu jamaa huru. Farid ni gaidi, na nina uhakika siku si nyingi atatoweka na kuwa akiendesha vitendo vya kigaidi kutokea mafichoni. Hapo ndipo tutakapokumbuka wakati ule tulivyokuwa tunacheka nae...
 
mmary;

Acha kuleta habari za uongo, tupe Chanzo.
 
Last edited by a moderator:
Ila ukiwaambia wafuasi nwake kuwa huu ni mchezo wa kuigiza hawakuelewi kabisa, Tatizo la serikali yetu kuchelewa kuchukua hatua ipo siku itatutokea puani
 
Unataka chanzo gani mzee wakati Amir kaongea yote yaliyotokea baada ya huko kutekwa anakosema na Dereva wake aliongea wakati alipotoweka
 
Badilisha kichwa cha habari. Mtu aliyeamua kujificha, huwa anaachiwa? Andika, 'Mahojiano kati ya Mfitini Fareed na mwandishi wa habari baada ya kurejea toka alikojificha'.
 
Badilisha kichwa cha habari. Mtu aliyeamua kujificha, huwa anaachiwa? Andika, 'Mahojiano kati ya Mfitini Fareed na mwandishi wa habari baada ya kurejea toka alikojificha'.

Acha ujinga. Anzisha thread yako uipe hiyo Heading.
 
Naona CHADEMA mnalishana sumu ya ujinga kama kawaida yenu! Haya endeleeni!
 
Nimemsikia vizuri kabisa. Naona hili la Zanzibar kutengana haliepukiki. Tutengane kwa amani. Huku bara watanganyika tushikamane.
 
Nimemsikia vizuri kabisa. Naona hili la Zanzibar kutengana haliepukiki. Tutengane kwa amani. Huku bara watanganyika tushikamane.

Tushikamane kwa kuchomeana makanisa na kuitana vilaza na magaidi?

Kama hatutobadilika basi baada ya risasi za moto na mabomu kutoka kwa polisi naona tunaelekea yale ya Rwanda, Burundi na Kenya.
 
Back
Top Bottom