Sikiliza hii...!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya mapenzi na kupiga mshindo mara moja hufupisha uhai wake kwa dakika 3. That means kila mshindo unapunguza dakika 3 katika uhai wa mwanaume. Hili lina ukweli wowote jamani?. Vipi wale walio kwenye ndoa ambao kumegana na wake zao nio order of the day?? Mkuu X-pin na vikuku vyako vya kienyeji huko uswazi unasemaje?
 
Hahaha! Huyu jamaa mi namwona kama kreze flani!
Kama ni hivyo babu yangu aliyekuwa na wake wanne na watoto 56 angekufa akiwa na miaka 60. Kidume kimekufa kikiwa na miaka 98.

Hahaha! Fidel angekuwa katika miaka ya mwisho ya uhai wake hivi sasa! Manake vya uswazi anavyo vya kuhesabu kwa kalkuleta.
 
Huyo Jamaa hana lolote. Uzuri wa nji hii kila mtu anaweza kuwa atakavyo: Askofu, mchungaji, daktari, nk hakuna anayehoji! Hatuna standards

sasa ukisikia hivyo na upo mzigoni si kila kitu kinasizi? watu na vipindi vingine sio vya kusikiliza!

Laligeni ulikuwa na 'tatizo' gani hadi ukawa unamsikiliza huyo daktari wao?
 
Vipi hii ya kusema mshindo mmoja unapoteza energy sawa na kutembea kilometa 7? Ina ukweli?
 
Hata mimi nilikuwa najiuliza hili swali!
 
Hahaha! Fidel angekuwa katika miaka ya mwisho ya uhai wake hivi sasa! Manake vya uswazi anavyo vya kuhesabu kwa kalkuleta.

Kama kweli ni dk.3 basi mm ningekuwa tayari kaburini na lingebaki jina tu.
Maana gemu zangu za uswazi iwa zinakuwa taiti naweza cheza mechi 2 tofauti kwa siku moja Geoff shahidi akija atathibitisha. Naona huyo Dr. sasa anapotosha watu.
 
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya mapenzi na kupiga mshindo mara moja hufupisha uhai wake kwa dakika 3. That means kila mshindo unapunguza dakika 3 katika uhai wa mwanaume. Hili lina ukweli wowote jamani?. Vipi wale walio kwenye ndoa ambao kumegana na wake zao nio order of the day?? Mkuu X-pin na vikuku vyako vya kienyeji huko uswazi unasemaje?

Vipi hii ya kusema mshindo mmoja unapoteza energy sawa na kutembea kilometa 7? Ina ukweli?
Jamani, naomba niwaeleweshe kwamba ukweli upo kabisa katika mambo haya.

The thing is:,kama utafanya tendo hilo bila kufanya repair ya mwili, kwa maana ya kula vizuri, yaani balancing the diet, kweli kabisa utakufa haraka sana kwa hesabu hiyo aliyoitoa.

Imagine hali anayokuwa nayo mtu akishapiga bao moja...uchovu wa kufa na usingizi mkali, mwili ukiwa umerelax haijapata tokea, huoni kwamba lile ni tendo lapekee sana?...

Hata mbeba lumbesa wa shimoni hafikii hata nusu ya kuchoka kulinganisha na tendo lili!

Think about it...imagine...tia akili...stuka!
 
Hahaha! PJ punguza makali kidogo! Hivi inakuwaje mbona mi huwa sichoki? Mtarimbo ukiibuka mi TWENDE KAZI!

Ingekuwa ni kazi nzito UKIMWI ungeisha. Kwangu mimi ile imekaa kiburudani zaidi. Mi naona kama inaniongezea maisha.
 
hamjui ni nguvu kiasi gani inatumika kufikia mshindo, ila nadhani alieleza ni jinsi gani ya kuokoa hizo dakika 3. dayati tu na si vingine.
 
Huyo Jamaa hana lolote. Uzuri wa nji hii kila mtu anaweza kuwa atakavyo: Askofu, mchungaji, daktari, nk hakuna anayehoji! Hatuna standards

sasa ukisikia hivyo na upo mzigoni si kila kitu kinasizi? watu na vipindi vingine sio vya kusikiliza!

Laligeni ulikuwa na 'tatizo' gani hadi ukawa unamsikiliza huyo daktari wao?
..Ah! mazee si unajua katika kutafuta flavour mbali mbali ndio nikakumbana na huyo jamaa ukizingatia ilikuwa ni saa 4 usiku na nilikuwa najiandaa kuanza operesheni zetu zileeeeee..mh! alitaka kunipotezea handasi kabisa...maana mdau alinitolea macho kuwa nipungeze vinginevyo uhai unapungua!!!!
 
Jana usiku nilikuwa nasikiliza radio free afrika (RAF) kipindi cha tiba mbadala kinachoendeshwa na mtu anayejiita Dr. Isaac Ndode. Katika maelezo yake huyu bwana akadai kuwa mwanaume anapofanya mapenzi na kupiga mshindo mara moja hufupisha uhai wake kwa dakika 3. That means kila mshindo unapunguza dakika 3 katika uhai wa mwanaume. Hili lina ukweli wowote jamani?. Vipi wale walio kwenye ndoa ambao kumegana na wake zao nio order of the day?? Mkuu X-pin na vikuku vyako vya kienyeji huko uswazi unasemaje?

Mpya zaidi aliposema kuwa moyo umeumbwa kusukuma lita 3 za damu kwenye UUME sasa kama umeurefusha kwa dawa au chchote moyo unakuwa hauna taarifa hizo hivyo hiyo damu haitatosha kuufanya uwe ngangari. hiyo ziada iliyoongezeka itakosa damu ya kutosha. JAMAA ANA MAJAMBOZI YA AJABU-Mungu ambariki
 
Wana JF huyo anyejiita "Dr Ndodi" ni tapeli tu. Uhakika ninao kwani ukienda kwake anauza vitabu hata vilivyoandikwa kuwa vinatolewa bure. Je mwandishi wa hivyo vitabu nafaidi nini na biashara hii. Kwa muda mfupi tu ameweza kununua shangingi la nguvu. Inatia wasiwasi jinsi mtu kama huyo anavyoweza kupata leseni ya kufanyia atapeli wake bila serikali kujiuliza anachofanya. Kaeni chonjo...Ohooooooooo!!!!!!!!!!!!!!
 
Mpya zaidi aliposema kuwa moyo umeumbwa kusukuma lita 3 za damu kwenye UUME sasa kama umeurefusha kwa dawa au chchote moyo unakuwa hauna taarifa hizo hivyo hiyo damu haitatosha kuufanya uwe ngangari. hiyo ziada iliyoongezeka itakosa damu ya kutosha. JAMAA ANA MAJAMBOZI YA AJABU-Mungu ambariki
..Tehh! teehh teehhh kumbe mazee ulinyaka hiyo? Unajua mjamaa inavyoelekea watu wengi ameshawajaza ujinga kiasi kwamba wanamuona kama nabii fulani pongezi za kufa mtu sijui kama wanayoelezwa na huyu bwana wanayatafakari kwa kina... NI hatariiiiii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom