Sikiliza Bunge Live

hebu jaribu kuangalia vizuri kwani inasikika vizuri tu
 
Bunge limepwaya sana hadi makamanda watoke msibani ndio mambo yatakaa sawa.
 
Bunge halivutii sana ila mbunge wa chadema amemlalamikia waziri mkuu kwa kupewa mbuzi 9 na mkuu wa wilaya!
 
Tumekosa redio ambayo itakuwa "live" muda wote wa shughuli za Bunge kama ilivyo Tv ya TBC1. Tuna utitiri wa redio hizi hapa Dar lakini hakuna hata moja imeona umuhimu wa kufanya hivo.
 
Hilo ni tatizo la mfumo wetu mbovu, TBC Radio hiyo ndiyo kazi yake lakini iko busy na mambo ya biashara na mambo mengine yasiyo na msingi
 
[h=1]Page Not Found[/h]The page you are looking for might have been removed, had its name changed, or is temporarily unavailable. Please try the following:

  • If you typed the page address in the Address bar, make sure that it is spelled correctly.
  • Click the Back button in your browser to try another link.
  • Use a search engine like Google to look for information on the Internet.
 
Nauliza hiviii bunge limekaa leo kama saa moja na nusu na kuahirishwa hadi kesho saa tatu asbh,wale wazee wa posho watalipwa kwa muda huo kiduchu?
 
Nauliza hiviii bunge limekaa leo kama saa moja na nusu na kuahirishwa hadi kesho saa tatu asbh,wale wazee wa posho watalipwa kwa muda huo kiduchu?
Bunge letu ni Bodi ya Wakurugenzi ya serikali. Wakikutana hata kwa robosaa siku inaingia na malipo ni kamili kabisa kama zilivyo bodi za wakurugenzi za mashirika ya umma.
 
Nauliza hiviii bunge limekaa leo kama saa moja na nusu na kuahirishwa hadi kesho saa tatu asbh,wale wazee wa posho watalipwa kwa muda huo kiduchu?

hata wakikaa dk kumi wanalipwa, ni kama ccm hata kama waakiwa wanazunguka kutukana matusi na kuvuana magamba bado wanakunja zaidi ya milioni 800 kama ruzuku kila mwezi.

by the way, bunge limeanza
 
Back
Top Bottom