Sikiliza bunge live, Jumanne Aprili 16, 2013

Nakushukuru mzee. Nimeanza kusikiliza maana hapa nilikuwa sehemu ambayo sina radio wa TV sasa niko mkabala na Bunge kupitia blog yako... shukrani mkuu. Ila nina swali kdg. Je ni kwa leo tu tarehe 16 au??
 
Nimeona hapa list ndefu ya fm radios,ni ipi kati ya hizo?
 
Nimeona hapa list ndefu ya fm radios,ni ipi kati ya hizo?

Mimi nimefungua ile link na sikwenda kokote ila ukiwa na subra kdgo tu saut ya bunge inaingia bila hata kubonyeza popote. Wewe fungua link na uhakikishe speaker ziko ON afu tulia na utaipata fresh tu
 
Ubarikiwe sana mkuu, niko Maddina Saudi Arabia ila najisikia kama vile niko bungeni dodoma.
 
Awesome thing you have done mdau, wacha tusikilize na tuchuje who is real who is not...
 
Back
Top Bottom