Sikiliza Bunge Live hapa.........linaendelea

Hotuba ya Kagasheki inataja mambo mengi ambayo sijui kama yatatekelezwa!!!! Ngoja amalize......matamasha kibao yametajwa. Hapo akina Diamond wameula
 
Kaka hao ndio mambo yao hao kazi kubuni jinsi ya kula hela this time wanataka kuwatumia wasanii lakini tutafika tu
Hotuba ya Kagasheki inataja mambo mengi ambayo sijui kama yatatekelezwa!!!! Ngoja amalize......matamasha kibao yametajwa. Hapo akina Diamond wameula
 
Asante kwa Link mzazi,kitu kiko safi kama nawatch live japo wamekata umeme toka jana na sehemu zingine wamekatwa leo asbh cjui sababu ya nvua ama kuzibiti kinachoendelea bungeni?
 
Asante kwa Link mzazi,kitu kiko safi kama nawatch live japo wamekata umeme toka jana na sehemu zingine wamekatwa leo asbh cjui sababu ya nvua ama kuzibiti kinachoendelea bungeni?

namhala unawatch au unalisten live
 
Mbona wanaeleza Radio ya Msomali Rage?? Msomali mwingine Kinana ni jangili kwa hiyo hawa al shabaab hawaaminiki
 
Duh! Nimeshang'oa meno na kucha ili niwe huru kuisikiliza hii hotuba ya kambi ya upinzani.
 
Anaongelea kuhusu kampuni iliyosafirisha shehena ya pembe za ndovu.

Anasema kuwa Katibu wa CCM na mkewe wana hisa kwenye hiyo kampuni iliyosafirisha shehena hiyo.

Anasema kampuni hiyo inaajiri wageni ambao hawana kibali cha kukaa hapa nchini.

Anasema, kwa mfano, aliyesaini kibali cha kusafirisha ile shehena ya pembe za ndovu alikuwa anaishi hapa Tanzania kinyume na sheria

Kibali chake cha kuishi Tanzania kiliisha Mei 7, 2008.
 
kama nawatch live on Tv kaka das wat i mean...but for now nalisten LIVE japo kinakwama kwama ila msigwa anagusa hisia za watu hatari...wabheja sana
 
"Ofisi ya Spika imekuwa kama Kaburi kwa kukalia ripoti nyingi za Kamati bila kuzifanyia kazi" Mchungaji Msigwa,Msemaji Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani.
"Subirini tu kuna mengi mtayasikia kutoka kwao" Spika Makinda akimaanisha Wabunge wa CCM wajiandae kusikia mengi kutoka katika Hotuba ya Upinzani.Sasa huyu ni Spika wa CCM au wa Watanzania wote?
 
Anasema kuwa kuna kada mmoja wa CCM ametajwa na Investigation Environmental Agency kuwa anahusika katika ujangili wa kuua wanyama lakini CCM wameendelea kumkumbatia huyo kada.
 
Mkuu, kwa simu naweza pata hii makitu??

Nin ngumu kaka lakini inategemea ni simu gani....Nokia Lumia au Samusang..........unanielewa????Mutabanzibwa......au na mie najibu Manyiiiiiiiiiiii.......kwa kifipa Sijui
 
Huu mjadala nadhani kuna wabunge watatimuliwa tena kwa hali hii.
 
Back
Top Bottom