vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,749
- 1,000
Katika kipima joto cha ITV kuna aina tatu za majibu
1. NDIYO
2. HAPANA
3. SIJUI.
Mfano wa Swali.
-----Ongezeko la watoto wa mitaaani jijini Dar es Salaam, Je serikali ilaumiwe?---------
Hapa utakuta mtu anachukua simu na kumwaga jibu no. 3 SIJUI.
Napenda kujua kama hii ni jamii ya watu wa karne hii au ni watu wa aina Gani?
sasa kama mtu hajui kwanini anajibu wakati sio lazima.