Sijui walipolizwa walisema mfungo wa iddi ama??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
ngeleja.jpg
 
mikutano mingine JK awe anawaachia vijana jamani, mmeona sasa karundikwa pamoja na wengine bila kuzingatia hadhi yake? sijui watu wa itifaki walihusishwa hapo, au kwa kuwa anaomba sana misaada?

lakini syo fair jamani, hadi namhurumia!
 
There ar tymz 2napotoshana sana,haileti maana kudanganya watu kwa chuki zetu,hiyo picha ni ya siku za nyuma sana,sina hakika ni mwez gani ila siyo kipind hich cha ramadhan,halaf hapo Jk anasoma,Ngeleja ndo kalala,haya hapo Ngeleja nae kafunga,lets be serious on issues not a person
 
JK anatazama kitabu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom