sijui walikuwa wanawaza nini?

Kapwani

JF-Expert Member
Nov 17, 2009
672
110
1.jpg
 
wanaonekana wapo kwenye dimbwi kubwa la mawazo! natamani ningejua tukio hapa walikuwa wapi na wanafanya nini?
nijuzeni wazee wa data...nimeshindwa kuchanganya na za kwangu kabisa
mix with yours
 
Walivyokaa ni kama kuna jamaa walikuwa wanamsikiliza akimwaga pumba za kuwadissapoint. Hii itakuwa kabla ya uhuru na possibly walikuwa wakiwasikiliza wakoloni wakiwachimba biti.
 
Walivyokaa ni kama kuna jamaa walikuwa wanamsikiliza akimwaga pumba za kuwadissapoint. Hii itakuwa kabla ya uhuru na possibly walikuwa wakiwasikiliza wakoloni wakiwachimba biti.

Hahaaaaaa nimefurahia suggestion yako...yes kuna hiyo posibility....kwakweli hawakuwa happy hata kidogo
mix with yours
 
ah, usijiulize wanawaza nini, wanawaza kuhusu nchi ilivyokuwa na potential ya mafisadi kuitafuna nchi hii.

Si unaona sasa. Wanaumia sana huko waliko
 
Bongoflava walikuwa wanaimba.....Nyerere hakuwa na interest na vitu hivyo ndio maana hakununua studio :becky:
 
ah, usijiulize wanawaza nini, wanawaza kuhusu nchi ilivyokuwa na potential ya mafisadi kuitafuna nchi hii.

Si unaona sasa. Wanaumia sana huko waliko

nimewahi kusikia japo sina hakika kuwa mwalimu alikuwa na tendency ya kuwahamisha watu walioharibu mahali fulani na kuwapeleka sehemu nyingine na huko wakiharibu anawahamishia tena pengine...sina hakika nimewahi kusikia tu watu wakidai hivyo...kama ni kweli nadhani nae alikuwa mvumilivu wa mafisadi
mix with yours
 
Kaunda enzi zake nini? Sina hakika! Kama ni yeye uhuru wa zambia ulikuwa mbaliiiiii!

Yes huyo ni kene kaunda, unadhani hii picha ilikuwa kabla ya uhuru wa zambia? mie nilidhani ni baada ya ujamaa wa nyerere na kaunda kwenda kombo
mix with yours
 
wanawaza mtusi aliyoyatoa dr slaa kwenye uzinduzi wa kampeni zake. walitegemea kupata sela matokeo yakawa kinyume
 
Back
Top Bottom