Sijui nina ugonjwa gani..??

Usinikumbushe kaka kilikuwa kijiwe changu pale hasa kwa Klara,mambo ya bia na Kitimoto,Hivi unamfahamu Abby ,yule aliyekuwa akitapeli wazungu kwa kisingizio cha kuwapandisha mlima...

huyo simfahamu mkuu ila niliwahi kumsikia... kwani bado yupo au walishaulimboka kesho mchana napandisha marangu tena ni sehemu gani pale marangu mtoni pana noah wa ukweli?
 
no no sijapenda bado.. Namuwaza mume wangu jaman.. Umefurahi alivyoekwa kizuizini



Usiwaze sana mama atatoka tu na tutakuwa naye muda si mrefu,ila naomba niwe mfariji wako basi katika kipindi hiki kigumu maana naona nakosa wa kumfariji hasa baada ya Madame B kuniwekea ngumu......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom