sijui ni ushamba wangu ama...

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
naonaga wadada baadhi wamevaa pete mbili, ya ndoa na uchumba at the same time, wengine huvaa moja kati ya hizo mbili hapo uwa naelewa either kaolewa au yuko engaged, sasa hawa wenye mbili cacico, FP msaada
 
Last edited by a moderator:
naonaga wadada baadhi wamevaa pete mbili, ya ndoa na uchumba at the same time, wengine huvaa moja kati ya hizo mbili hapo uwa naelewa either kaolewa au yuko engaged, sasa hawa wenye mbili cacico, FP msaada
my huz C6 wengi wanaovaa ya ndoa bila ile ya uchumba ujue zimewabana. couz wakati wa uchumba anakuwa kimodo akishaolewa na kupata mtoto/watoto hunenepa. sasa anaona bora kutanua ya ndoa pekee. hayo ndo majibu walonipa wahusika
 
Last edited by a moderator:
Ujanja wote huo umekosa hata wa kumkaba kabari, lol!

Ze confused, wadhungu wanapeanaga engagement ring siku ya ndoa. Nalo ni suala.
In my view, when you ge married you should still be engaged. Uchumba hauuishi atiii!
Wenye ndoa watakuja.
 
Ndo nyie mnaotoka nje ya ndoa na wake zenu wanachungulia nje. Uchumba, uboifrendi na engagement haiishi hadi kifo. Surprise zitaendelea, flirting, kufuatana club (Kaunga alisema hii), mitoko na vizawadi vya hapa na pale haviishi kamwe. Kwani mkioana mnatunukiwa ukanali wa jeshi?
kapistrano, cacico, charminglady, King'asti mimi nikajua ukiwa married uchumba ndo umeisha, kama vile ukiwa mchumba uboyfriend na ugelifrend unaisha@fp jamani una kucha nzuri mweeee
 
Last edited by a moderator:
kwa kuangalia kiganja chako nahisi umeolewa ukiwa na umri mdogo eenh
Du! watu8 umesomea wapi kutambua umri wa mtu kwa kuangalia kiganja? umri mdogo unamaanisha miaka mingapi hivi? hiyo picha niliipiga juzi tayari nikiwa na miaka 13 ndoani, ha haaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Ndo nyie mnaotoka nje ya ndoa na wake zenu wanachungulia nje. Uchumba, uboifrendi na engagement haiishi hadi kifo. Surprise zitaendelea, flirting, kufuatana club (@kaunga alisema hii), mitoko na vizawadi vya hapa na pale haviishi kamwe. Kwani mkioana mnatunukiwa ukanali wa jeshi?
Umeona eeeeh!
mimi mume wangu huwa ananitambulishaga atakavyojisikia, siku nyingine utasikia huyu ni girlfriend wangu, siku nyingine huyu mchumba........... watu wanatutamanije!
hao wa hivyo utawasikia wamawatambulisha wake zao, huyu mama naniii..... lol!
 
Back
Top Bottom