Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gfsonwin unanichanganya.Tumeumbwa ili tuuthibitishe uungu wa Mungu?So Mungu anahitaji tufanye hilo?Haya tunayofanya tunapoteza muda bure?
mmh!yaani ukiwaza is like no enough reasons
\So your with me on this!
Wewe ni thinker mkubwa. Suala lako linatufanya tufikiri ni nini maana ya maisha? Maisha mazuri ni yapi? Baada ya maisha kuna nini? -utagundua kuwa maisha yetu wote, yamejaa worries, kama swali lako lilivyojaa hofu na linavyotia hofu. Tunaishi maisha yetu yote tukiitafuta furaha-yet hatujui furaha ni ipi, tunaipataje furaha, na furaha kuu ni ipi. Kuna jamaa yangu mganda alifapata ugonjwa wa pua, akafanyiwa upasuaji, lkn upasuaji, kwa maelezo yake, ulifanywa na ill-trained surgeon. Akapata complications, na hata ubongo ukaacha kufanya kazi. Inasemekana alikaa takriban wiki mbili akiwa hajitambui. Kwa mtizamo wake, anadhani ile hali ya kutokujitambua aliyokuwemo, yaani, kufa nusu, ndiyo hali ya amani kuliko zote alizowahi kuwemo- maana alikuwa hajijui. Kwa hivyo anaamini 'kifo' ndiyo furaha na uhuru unaoshinda vyote.
Eiyer mdogo wangu umesahau kwamba Mungu alisema yeye anapenda kutukuzwa na ana kaa katika sifa? kweli kajitosheleza kwa kila kitu na ndio maana alijitambulisha kama Munu mwenye wivu mwingi wa huruma na rehema. wivu kwake upo hata unapotoa utukufu na kumpatia mwingine. Huwa anataka asubuhi uamkapo useme nakushukuru Munu kwamba wewe peke yako ndiye uliyenilaza na kuniamsha na wala usije ukautoa utukufu wake na kumpa mwingine.gfsonwin kama Mungu ndie anaefanya yote kwenye maisha yangu yatoke na yawe kama yalivyo,kwanini niadhibiwe kwayo?Kama Mungu anahitaji kutukuzwa,huyo amepoteza sifa za kuwa Mungu,Mungu ninayemjua hana hitaji lolote,amejitosheleza.Yeyote anaehitaji hawezi kuwa Mungu,sababu hii haina mashiko!
Eiyer mdogo wangu umesahau kwamba Mungu alisema yeye anapenda kutukuzwa na ana kaa katika sifa? kweli kajitosheleza kwa kila kitu na ndio maana alijitambulisha kama Munu mwenye wivu mwingi wa huruma na rehema. wivu kwake upo hata unapotoa utukufu na kumpatia mwingine. Huwa anataka asubuhi uamkapo useme nakushukuru Munu kwamba wewe peke yako ndiye uliyenilaza na kuniamsha na wala usije ukautoa utukufu wake na kumpa mwingine.
Inawezekana Mungu unaemjua wewe ni tofauti na ninaemjua mimi.Kuhitaji kutukuzwa ni aina ya maradhi ya akili na mara nyingi wanakuwa nayo madikteta,ndo maana wanaua watu wakiwalazimisha wawatukuze.Mungu hawezi kuwa na sifa hii!
cate hivi wafikiri kuaza haya ni vibaya na si kukupa wewe changamoto ya kwanini ukawepo duniani? nafkiri ni swali ambalo kila mmoj wetu anapaswa kulifikira kwa umakini sana na isiwe eti ni kwasababu utakufa nbali iwe ni kwasababu unataka kupafanya dunian mahali pazuri pa kuish wewe na vizazi vijavyoMambo ya kuzaliwa na kufa kufa haya si mazuri kuyafikiria sana. Cha msingi tenda mema ili ukiRIP ukauonje ufalme wa mbinguni (kama upo kweli)
Nimezaliwa,nikafikisha umri wa kwenda shule,nikaenda.Nimesoma mpaka hukoooo nimemaliza,nimekuja sijui nimejiajiri au nimeajiriwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nimeoa na nimepata watoto nao nimewasomesha kisha nao wamejitegemea,nimezeeka,kisha huyooo nauona mwili unashindwa baadhi ya mambo.Kisha narudishwa mavumbini,nimekufa.Safari ya maisha imeishia hapo,nimeondoka duniani. . . . . . . . . . . . . . . , . . . . . . . Hivi hayo ndo yalisababisha nizaliwe au kuna kingine?Yani hivyo tu?Sidhani,sijui ni kwanini lakini nahisi kuna kitu kimepungua.Yaani nayaona hayo kama mambo madogo sana kusababisha mtu kuzaliwa.My be nimejipotosha,wewe je unaridhika?
Eiyer kwanza kumbuka kwamba Mungu habadiliki milele na pia hata patokee kitu gani dunian hakimbadilisha yeye. kwa kulijua hili alishasema sifa zake kama nilivyokuonyesha hpo juu. na ndio maana akamalizia kwamba yeye ni Mungu mwenye wivu. ndio maana katika post zangu zilizotangulia nilisema maneno haya kwamba Mungu amajitosheleza kwakila kitu ila kweeetu sisi anachohitaj ni kumtukuza kwamba yeye ni Mungu na tuutambue kwamba ni mkuu and thats it.gfsonwin usichanganye mambo.Daudi anaposema mpeni Mungu utukufu,hayo ni maneno ya Daudi.Mimi tatizo langu ni uliposema kuwa Mungu ANAHITAJI kutukuzwa na uhitaji ni tabia ya kibinadamu ndo maana nikakuambia Mungu hawezi kuwa na tabia hiyo.Mungu kuwa wa rehema,upole n.k hamaanishi kuwa anahitaji sisi kuthibitisha hayo,yapo na ataendelea kuwa hivyo.Daudi aliuona ukuu wa Mungu ndo maana akamwimbia na akawaagiza wengine wamwimbie,siyo kwamba Mungu ANAHITAJI bali tunapofanya hayo ni kwa faida yetu,hata tukiacha haimpunguzii chochote Mungu,wala tukimsifu haimwongezei chochote.Hayo ni kwa faida yetu sio UHITAJI wa Mungu!