sijui kwanini?

angomwile

Senior Member
Sep 10, 2011
116
62
Jamani mwenzenu napenda sana kupiga chabo yaani nikiona mwanamke ameingia bafuni au chooni au anavaa nguo lazima nimchungulie yaani nasikia raha sana!mnisaidie niache hii tabia wadau!!
 
Duh, Just Imagine na mimi naenda kumpiga chabo mzazi wako utajisikiaje? ukishapata jibu acha hiyo tabia kabisa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom