Sijui kwanini sikuijua JF muda wote huu

Jan 5, 2011
7
1
Naingia kama vile nilikuwepo tangu na tangu, kama vile naifaham kuliko wengi wa hao walioitambua mapema zaidi....:msela:
 
Naingia kama vile nilikuwepo tangu na tangu, kama vile naifaham kuliko wengi wa hao walioitambua mapema zaidi....:msela:

Karibu sana jamvini...Lakini mbona hii kitu ipo miaka mingi tu. Hapa ni sehemu ya wale wanaoipenda sana nchi yetu ya Tz. Tunakumbushana, tunapashana, tunaelimishana,tunaliwazana, tunajengana, na pia tunabomoa lakini kuwa mvumilivu utafaudu tuuuuuuuuuuuuuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom