Sijui kama kuna ukweli!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university,source(www.healthkicker.com).Mimi bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!
 
ehhh kwaiyo mimi mwenye sura km dada yake remi ongara nina uhakika wa kupata beb boy....?cz ata mwenzangu pia ana sura ngumu kama yangu...:A S-baby:
 
Mh!.. Embu tujaribu kutaja famous couples ambazo ni (handsome husband&beautiful wife) alafu tuangalie accuracy ya jinsia za watoto wao wenye watoto wa kike...
 
ehhh kwaiyo mimi mwenye sura km dada yake remi ongara nina uhakika wa kupata beb boy....?cz ata mwenzangu pia ana sura ngumu kama yangu...:A S-baby:
Acha uwongo,we mdosho tu!
 
mh!kwahilo sina uhakika na pia sion connection yeyote.ila nnachojua watu wengi walevi wana pocblty kubwa yakupata watoto wakike na pia mimba nyingi za bahati mbaya yaani mtu anapojiona yuko safe dayz kitukikaingia kunauwezekano mkubwa wakupata mtoto wakike kwan mbegu yakike inaweza survive kwa mtu kuliko ya kiume mpaka yai linaposhuka
 
Hiyo ya walevi nimeifanyia uchunguzi,kwa 80% naona iko sahihi!
 
Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university,source(www.healthkicker.com).Mimi bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!
Hiyo source ya uongo. Kitu kingine uzuri is a matter of degree. There is no crosscut boundary of the word beauty. What beautiful to u may be hardly to me. Beautiful is abstract hence it is perceived differently to different people
 
Dah! hizi research sijui huwa wanawaza nini....

umeona eeeeh// IYO GENETIC RECOMBINATION HAIWEZEKANI KWA KITU KAMA ICHO

mkuu hao researcher wanamatatizo. hawawezi kureason kipumbavu namna hiyo,
siku sii nyingi mbu,au ashadii,mwajamiione au mwanakijiji au fidel80 au pdidy au malaria sugu au faizafoxy nao watakuja na thread et reseach inaonyesha kwamba member wa jamii forum kama itatokea wakawacouples basi watapata watoto wenye upofu,sababu wanashinda sana kwenye laptop zao kureply text jamii forums.
 
Hypothesis yako sasa kiboko...lol...
 
Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university, bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!

Eh kwamba uzuri wa sura ya mama na baba unadetermine sex ya mtoto!! Eh hebu tunaomba link tuongeze maarifa, hawa wazungu bana!
 
ehhh kwaiyo mimi mwenye sura km dada yake remi ongara nina uhakika wa kupata beb boy....?cz ata mwenzangu pia ana sura ngumu kama yangu...:A S-baby:

Ah mie hata nimeshindwa kuwaza! So ukichanganya handsome na ugly utapata jinsia ya kati au?
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
eeh iyo lazima iwe kiboko ashadii, hii thread ni upupu mtupu.

ha ha ha.... huo ukorofi... mwenzio kawakilisha kama alivyosikia..
Huwezi jua labda nae kapinga na kaona ni waongo na anataka mawazo yetu..lol
 
Mtafiti wa hii kitu sio mimi,nimeiweka hii thread'upupu' hapa JF ili kupata views zenu tu,sijasema kwamba ninaikubali ili wewe uniunge mkono au unipinge la hasha!
 
Inasemekana zile couples zinazoundwa na mume na mke ambao wana sura nzuri za mvuto i.e(handsome husband&beautiful wife),wana frequency kubwa ya kupata watoto wa jinsia ya kike kuliko wale wa jinsia ya kiume.Uchunguzi umefanywa oxford university,source(www.healthkicker.com).Mimi bado sijafanya uchunguzi,sijui wewe mwenzangu!
Mkuu hapo umechemsha, Kiranja Mkuu wa Mawaziri wetu yule, nadhani mwamfahamu kwa uchachu wa sura yake bt anawatoto wakike wengi sana, sio handsome yule!
 
ha ha ha.... huo ukorofi... mwenzio kawakilisha kama alivyosikia..Huwezi jua labda nae kapinga na kaona ni waongo na anataka mawazo yetu..lol
Tuchangie kwa kureffer sura zetu! teh! This thread is very interesting, Nimeipenda!
 
Mtafiti wa hii kitu sio mimi,nimeiweka hii thread'upupu' hapa JF ili kupata views zenu tu,sijasema kwamba ninaikubali ili wewe uniunge mkono au unipinge la hasha!

Pole Jaguar... naona tulishindwa kukupata...
 
Tuchangie kwa kureffer sura zetu! teh! This thread is very interesting, Nimeipenda!

Huna haja ya kusema... nisingeona Jina la Jaguar nikaambiwa nikisie
ninge mention wewe ndo umerusha.....lol..
 
Back
Top Bottom