Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
kama kuna mtu au tabibu yeyote hasa wa miti shamba anaejua namna ya kunisaidia kujisikia utamu wakati wa ku do,naomba anisaidie dawa make huwa naona kero badala ya kuenjoy,kiufupi nasumbuliwa na FRIGIDITY.