sijawahi penda

Emmanho

New Member
Feb 16, 2012
4
0
member wa jf em nisaidieni yaani nashindwa kupenda kabisa au kwakuwa cpati demu waukweli
 
wewe account yako inasoma sifuri ngapi?? maana ukiwa na sifuri nyingi waukweli nao unitokeza kwa wingi
 
endelea kuwa hivyo kwani inasaidia kuepuka na maambukizi
 
Tulia tu ivoivo wakati wako bado,cku ukikutana na wa kuugusa moyo wako utampenda automatic bila hata kujipanga kumpenda!
 
Swali lako hata halieleweki bwana , ni kwamba hamna feeling ya kupenda au?
Hata miss bantu apite hapo hamna mshipa wa fahamu unaoshituka?
Ni wkati mzuri kwako kwenda kusomea Upadre maana utaifanya kazi kwa moyo
 
dogo usifanye haraka kama moyo wako pado haujapenda bora utulizane usije iga mkumbo bure....ikifika siku atatokeza tu utakaye mpenda.
 
duh!!polee meku inaonekana unaugonjwaa wa mfadhaiko unaoitwaa KUTOJIPENDA...jipendee mwenyeweee kwanzaa then utaonaa itavyo kuwa rahisi kupenda wengine sanaa jinsiaa ya kikee.
member wa jf em nisaidieni yaani nashindwa kupenda kabisa au kwakuwa cpati demu waukweli
 
Unapenda upende badala ya kupendwa upende...subiri uone kiama chake,halafu sorry upo kidato cha ngapi?
 
Back
Top Bottom