sijawahi kuzidisha mzunguko mmoja wakati wa kufanya tendo la ndoa

wewe jamaa ni mjinga sana,mbona unampotosha mshikaji wako? yaani huo ndo usomi wako?

.... we bwana mdogo, naomba ujue kuwa,hujui kitu na huna uzoefu wowote. sisi wenzio tunaofanya karibia kila siku ndo tunajua kitu. wewe mpaka ukaibe wapi bwana, subiri ufunge ndoa ndo utatoa maoni hapa. pusi we.
Go easy with new comers. Umetoka kusoma post zinazohusu mafisadi nini?

Henry Philip, please don't use CAPITALS like that. Use them less often or when you are shouting!


.
 
Umesema unachelewa kukojoa hadi mkeo anachoka na kupoteza hamu, je unatafuta viagra ili ukojoe haraka na kwa mara kadhaa au unaitaka ya nini hasa?
Naona mkuu hukuelewa swali lake hebu msome tena hapa chini uelewe ili uweze kumsaidia tatizo lake.
Kuna rafiki yangu alinieleza niende kununua viagra, lakini sijui zinauzwa wapi, na zinaongeza nini? kwani viagra inaongezanini? inaongeza mbegu au inaongeza hamu tu. ukitumia itazidi kubaki vilevile kuwa na hamu au itabidi uwe unatumia kila mara ukitaka kufanya hivyo? .
 
hawa watoto wana mambo ya ajabu sana, huwezi amini mtu anakiri kuwa hajaoa lakini analeta za kuleta zake hapa...hahaha.
 
We ulidhani nini kama si mzaha? Binadamu gani ana uwezo wa kwenda dakika 50?!? Labda anazungumzi mambo mengine na sio haka kamchezo kanakotumaliza

Tehe tehe tehe Yawezekana anatupima speed zetu ahaaaaaaaaaa
 
wewe jamaa ni mjinga sana,mbona unampotosha mshikaji wako? yaani huo ndo usomi wako? kwakifupi, kati ya vyakula vyote hivyo ulivyoorodhesha, hakuna cha maana kwa hilo. dunianzima inajua kuwa, tunakula vyakula vyenye amoniam nyingi ili kuwezesha kutengeneza mbegu, na sio majimaji yaani semen. pili, wewe ni mchafu na hujui kitu, waliooa ndo wangetoa ushauri huo,wewe hujui na unajichora tu hapo, wewe unafanya mapenzi mara ngapikwa wiki? sisi wenzio tuliooa tunafanya kila baada ya siku moja na wake zetu, wewe hadi ukapange gest, utakuwa na uzoefu gani wa kuibia tu huo. nyamaza kimya waongee wanaojua bwana...tena acha uchafu huo, ni uzinzi huo utakuchoma moto. umeandika mistarimireefu, kumbe pointless kabisa.

kwa ushauri wa vyakula, mimi namshauri ale vyakula hivi....karanga,nyama nyekundu,water melon/tikiti maji, parachichi, kama kuna vitamins za zinc anaweza akapata,zitaongeza sana uzalishaji wa mbegu...muhogo hauongezi kitu chochote kile, usiwe mshamba kuwa kwasababu majimaji ya muhogo ni meupe basi ndo zenyewe...hahaha, futa hicho kitabu waandike wanaojua. we bado hujui. maziwa sawa, na anywe maji mengi. cha muhimu zaidi, anatakiwa awe fresh kwenye akili yake,kwasababu akili yake ikiwa frustrated, kila kitu kiaweza kikaenda kombo. we bwana mdogo, naomba ujue kuwa,hujui kitu na huna uzoefu wowote. sisi wenzio tunaofanya karibia kila siku ndo tunajua kitu. wewe mpaka ukaibe wapi bwana, subiri ufunge ndoa ndo utatoa maoni hapa. pusi we.

Pamoja na kua umemshambulia sana Henry Philip kuhusu mihogo naliposoma hapa nikaongea na wazee 2 [70yr olds] mmoja wa pwani na mmoja wa mbeya. Wa pwani akasema mihogo inaongeza uwingi wa shahawa kwahiyo kukuwezesha kufanya mara nyingi,wa mbeya akasema ukila kitunguu kibichi kitaongeza.Hapa ni semen sio sperm na wote walitaja protein foods kwa ajili ya kurutubisha uzazi
 
Dawa ya kuchelewesha inaitwa Delay spray/cream,ya kuwahisha inaitwa Sensitising spray/cream,zote ni za kupaka kwenye mlingoti
Tehe Tehe Tehe Tehe
My advice is to use natural ways. Haya madawa!!! yes ila ukumbuke mengine ni feki na pia people are doing business. unaweza pata madhara usiyoyategemea
 
ubungoubungo,
waweza kutumia kutumia supu ya pweza,karanga,supu ya makongoro na supu ya mkia wa ng'ombe.Hizo ni viagra tosha na nakuhakikishia hutochukua round kuata bao la kwanza na la pili!!
 
Je Kuna Dawa Kwa Mtu Yule Anaye Pata Goli Mapema Philip Ebu Tusaidie, Mtu Akiingia Tu Bao, Je Kuna Dawa Ya Kumfanya Achelewe.
 
Hi all, nimevutiwa na hii forum kwa habari na hija moto moto za kufundishana.

Swali langu ni hivi, mtu akitaka kuchangi kuna limitation zozote?
Kuna mtu anayechuja ujumbe kabla haujapita kusomwa na watu wengine?
 
nimesoma Tatizo Lako Na Nimekuelewa Na Japo Sijaoa Lakini Nimeguswa Na Tatizo Lako Kama Vile Ni Langu Pole Sana Ndugu.japo Sijaoa Lakini Nina Mpenzi Ninayempenda Sana Na Niwe Mkweli Nimeshafanya Naye Mapenzi Mara Kibao Na Kwa Sasa Nipo Katika Mpango Wa Kumuoa Awe Mama Watoto Wangu.kwa Kifupi Sijawahi Kukutana Na Tatizo Kama Lako Wakati Wa Kufanya Tendo La Ndoa Na Mpenzi Wangu.

Naona Nikusaidie Kama Mwanamme Mwenzako,
Kwanza Kuhusu Dawa Za Kuongeza Nguvu Za Viagra Naomba Usijaribu Kwani Ile Ni Kitu Kigeni Ndani Ya Mwili Na Kichocheo Ambacho Sio Cha Asili Hivyo Uwezekano Wa Kuua Hata Hicho Kichocheo Ulichonacho Ni Mkubwa.hicho Ni Kilevi Kama Kilevi Kingine Na Kwa Kawaida Kwa Mtu Ambaye Ili Afanye Kitu Ni Mpaka Apate Kilevi Basi Nawe Ukianza Kutumia Ndio Uume Wako Utasimama Kama Msumari Lakini Kuna Athari Zake Ambazo Ni Uume Kushindwa Kusimama Mpaka Utakapotumia Hiyo Dawa Kwani Itakuadict.na Pia Kisaikolojia Utajengeka Kuwa Mpaka Utumie Dawa Hiyo Ndio Mzee Afanye Kazi.vile Vile Uume Imeundwa Na Misuli/muscles Au Kitaalam Tissues.na Kama Ujulikanavyo Ni Kwamba Misuli Ikibebeshwa Mzigo Ambao Sio Saizi Yake Huwa Huchoka Sana Na Kuwa Dhoofu.kutumia Viagra Ni Kama Kuitwisha Uume Wako Mzigo Ambao Sio Saizi Yake Kwani Inakuwa Imesimama Muda Mrefu Na Unaweza Kupiga Mabao Mpaka Yakaisha Ukaanza Kukojoa Hewa Wakati Bado Uume Umesimama.unaweza Kuona Ni Jinsi Gani Utakuwa Umejisababishia Athari Kubwa.tafadhali Wasikushauri Wengine Vibaya Ukaja Ukajutia.

Kwa Ujuzi Nilionao Ni Kwamba Tatizo Lako Unaweza Kulitatua Wewe Mwenyewe Kama Wewe Bila Kutumia Nguvu Nyingine Ambazo Si Za Asili.kwanza Inawezekana Kuwa Huwa Unafanya Mapenzi Wakati Huwa Umechoka.kwa Taarifa Yako Mapenzi Ni Akili Wala Si Uume Kusimama.kama Akili Inakuwa Imechoka Au Unakuwa Una Mawazo Mengi Yanayosumbua Akili Yako Wakati Unapokuwa Unafanya Tendo La Ndoa Na Mwenzi Wako Ni Dhahiri Kuwa Utachukuwa Muda Mrefu Kupiga Bao Kwani Akili Inakuwa Haijaandaliwa Kuwa Katika Mazingira Ya Kufanya Mapenzi.kama Una Tatizo Hili Tafadhali Nijulishe Alafu Naweza Kukupa Namna Ambazo Unaweza Kulimaliza.

Hivyo Unapokuwa Unafanya Tendo Hilo Hakikisha Uko Fresh Kiakili Na Hata Kimwili Yaani Usiwe Mtu Aliyechokachoka Hivi Kwani Uchovu Wa Akili Na Kimwili Na Hata Wa Kiroho Kwani Kama Una Jambo Linakusumbua Rohoni Pia Huwa Kikwazo.

Naomba Nikuulize Swali Moja La Kizushi Kaka,je Kabla Hujaoa Ulishawahi Kufanya Tendo La Ndoa Na Huyo Mkeo Au Na Mpenzi Mwingine Yeyote?na Kama Jibu Ni Ndio Je Ulikuwa Unapata Tatizo Ambalo Unalipata?kama Jibu Ni Sio Ulikuwa Unajizuia Vipi Kutofanya Mapenzi Kabla Ya Ndoa? Naomba Unijibu Kwa Usahihi Na Bila Uoga Kwani Hili Laweza Kuwa Moja Ya Dawa Ya Tatizo Lako.

Kwa Upande Mwingine Pia Tatizo Lako Laweza Kuwa Linachangiwa Na Lishe.ninavyosema Hivi Simaanishi Kwamba Huli Vizuri La Hasha Ila Kuna Vyakula Ambavyo Wengi Hawatambui Kuwa Ukivitumia Huongeza Nguvu Za Kiume Na Hata Uwezo Wa Kupiga Mabao Huwa Mkubwa Na Wa Kuridhisha Sana.kaka Mimi Ni Mdogo Lakini Nisikufiche Kitu Nilishawahi Kukakaa Muda Mrefu Bila Kutumia Vyakula Hivyo Na Uwezo Wangu Wa Kupiga Mabao Ukashuka Na Hata Upigaji Wenyewe Ulichukua Muda Hadi Wakati Mwingine Uume Ukawa Unalala Yaani Unachoka Hata Kabla Sijapiga Bao.lakini Mara Nilipoanza Tena Kutumia Vyakula Hivyo Nikarudi Kama Mwanzo Na Niliweza Kupiga Mabao Manne Ya Uhakika Na Mpenzi Wangu Akakiri Kwamba Ameridhika Kwa Asilimia Mia Na Akanisifia Kuwa Niko Strong Sana Katika Mechi.

Kwa Kukusaidia Ni Kwamba Baadhi Ya Vyakula Hivyo Ni Kam Vile Maziwa Ya Ngombe Yaani Maziwa Ya Asili Fresh Walau Upate Glasi Moja Asubuhi Na Jioni,asali Pia Ni Nzuri Upate Ya Asili Kama Ile Itokayo Tabora Mtume Mtu Anayesafiri Huko Akuletee Hizi Za Hapa Town Ni Feki.uwe Unapaka Kwenye Mkate Au Unakorogea Kwenye Maziwa Badala Ya Sukari.pia Kutafuna Muhogo Mbichi,karanga Mbichi Nazi Na Hata Mayai Pamoja Na Vyakula Vyote Vyenye Madini Ya Protini Kwani Manii Au Shahawa/nyege Ni Protini Na Hutengezwa Kwa Content Za Protini.hivyo Kula Vyakula Vya Protini Kwa Wingi Hasa Vya Asili Itakusaidia Sana Achana Na Zile Artifials Za Super Market Hazina Maana.hivi Nikuulize Kitu,je Ungepewa Nafasi Ya Kuoa Mke Mwingine Ungekubali?naomba Unijibu Pia Swahi Hili Na Sikuulizi Kwa Kejeli Ila Kwa Kukusaidia Na Kutaka Kukuonesha Umuhimu Wa Vyakula Vya Asili Katika Tendo La Ndoa Kwani Wazee Wetu Zamani Walikuwa Wana Uwezo Wa Kuwa Na Wake Zaidi Ya Mmoja Na Wakawahudumia Kikamilifu Kiunyumba Na Sababu Kubwa Hapa Ni Kwamba Tu Wao Walikuwa Wanatumia Sana Vyakula Vya Asili Ambavyo Hii Leo Kijana Wa Kitanzania Na Yeyote Ulimwenguni Anavidharau Na Kuona Vimepitwa Na Wakati Na Hata Vingine Kupigwa Vita,nasema Vinapigwa Vita Kwani Kuna Kundi La Watu Limeibuka Na Kusema Matumizi Ya Nazi Si Mazuri Kwani Inasababisha Presha.nawaona Hawa Kama Wamewehuka.jaribu Kutumia Vyakula Hivi Alafu Utaona Matokeo Yake.

Pia Jitahidi Uwe Unafanya Mazoezi Ya Viungo Kulingana Na Ushauri Wa Daktari Wako Kwamba Ni Mazoezi Gani Yanakufaa.lakini Hata Joging Yaani Kufanya Riadha Japo Ya Kilometer Mbili Tatu Hivi Kila Siku Itaweka Mwili Wako Katika Hali Safi Sana Na Hata Akili Yako Itakuwa Fresh Muda Wote Just Try Alafu Utaniambia Hata Kama Hujawahi Kufanya Mazoezi Jitahidi Kidogokidogo.watu Hufikiri Hasa Watanzania Kuwa Mazoezi Ni Kwa Ajili Ya Kupunguza Unene.sisemi Kuwa Wewe Ni Mnene Kwani Sijakuaona Wala Sikujui Ila Hata Tukionana Si Vibaya.ila Mazoezi Ni Kwa Ajili Ya Kuweka Mwili Fiti Hivyo Usiogope Kufanya Hata Kama Wewe Ni Mwembamba.

Alafu Naomba Unijulishe Kama Unavuta Sigara Au Ni Mnywaji Wa Kupindukia Alafu Nitakuambia Kitu Cha Msaada Sana Kwako.ilal Kama Huvuti Wala Sio Mnywaji Wa Kupindukia Basi Ni Vizuri Sana.

Mwisho Kabisa,hakikisha Unamtanguliza Mungu Katika Mambo Yako Yote Kwani Yeye Ndiye Mtatuzi Mkuu Wa Matatizo Yanayotukumba.uwe Mkristu,muislamu Au Hata Mpagani Lazima Una Mungu Unayemuabudu.mpe Nafasi Katika Maisha Yako Na Utaona Mabadiliko Katika Ndoa Yako.nasema Hivi Kwani Tatizo Kama Lako Laweza Kuwa Kikwazo Katika Ndoa Yako Na Baadae Ukaiona Maisha Ya Ndoa Ni Machungu.amini Mungu Anaweza Yote Mpe Nafasi Kwa Jinsi Ulivyo Na Kwa Dini Yako Uliyoko.cha Msingi Ni Imani Yako Kwake Kwani Imani Huponya Wala Sio Dini.

Naomba Uniwie Radhi Kwa Popote Ambapo Nimekukwaza Na Usisite Kuwasiliana Nami Kwa Msaada Zaidi.

Naitwa Henry Philip,naishi Hapa Dar,nafanya Kazi.sijaoa Bado Ila Nipo Mbioni.

Pole Tena Sana Kwa Tatizo Kaka,karibu Tena.

Philip Utamsaidaje Mtu Anaye Fika Haraka Je Kuna Tiba,
 
Nikicheck comments za kmwanzomwanzo kwenye huu Uzi.. Naamini kabisa JF ya zamani sio kama ya sasa..
 
Mkuu leo novemba 2020, bado unapiga show dkk hizo hizo 50? Maana toka 2008 had leo 2020 utakuwa umezeeka sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom