Sijawahi kunyongwa tena yaani usingizi kama pono jf ni zaidi ya uijuavyo

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Ndug wanabod nafikiri kama ni mara yako ya kwanza kuingia humu hutaelewa namanisha nini ninaposema sikuwah kunyongwa tena jf ni zaid ya uijuavyo ahsanten sana kwani sasa hivi niko huru. niko huru kwa sababu kipind cha nyuma nilikuwa nanyongwa na mtu ambaye simuon. nikaja kuomba ushaur hapa na hatimaye ile hali ilikoma usiulize nimefanyaje!
 
Sasa na wewe ni mbinafsi kwanini ufanye siri kwani waliokuelekeza wangenyamanza ungejua hiyo siri weka hapa watu wajue.
 
Apolinary unashangaza sana! ulipokuja kuomba ushauri watu mbalimbali walikushauri ufanyeje; wapo waliokwambiaa kaombewe/ uombe sana, wapo waliokushauri kuwa nenda kwa waganga wa kienyeji, na wengine walishauri umuone daktari wa magonjwa ya akili.
Wadau wangependa kujua ulichukua ushauri gani, wewe unapiga chenga. Unatushangaza!
 
Sasa kama hutaki kusema suluhisho ulilipataje unatuambia ili iweje? Sema bana mi nataka ku-promote ile solution yangu (maombi)
 
Apolinary unashangaza sana! ulipokuja kuomba ushauri watu mbalimbali walikushauri ufanyeje; wapo waliokwambiaa kaombewe/ uombe sana, wapo waliokushauri kuwa nenda kwa waganga wa kienyeji, na wengine walishauri umuone daktari wa magonjwa ya akili.
Wadau wangependa kujua ulichukua ushauri gani, wewe unapiga chenga. Unatushangaza!

alianzisha thread ili awe nae kaanzisha, kama kweli alikua na tatizo basi angetuambia ametumia mbinu gani

ndivyo tulivyo mkuu... vitabia vya kuficha basic info
 
alianzisha thread ili awe nae kaanzisha, kama kweli alikua na tatizo basi angetuambia ametumia mbinu gani ndivyo tulivyo mkuu... vitabia vya kuficha basic info[/QU sio kiivyo mkuu kama unavyodhan.
 
cha msing ni sala na maombi bila kuchoka ila sikubadili din kwan din si kitu iman yako ndo itakayokuponya

.
Kwani ukisema nimeanza maisha mapya ya wokovu ndani ya Yesu, kwako ni aibu?
Usimwonee aibu aliyekukomboa na kaburi.
.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom