sinafungu JF-Expert Member Feb 13, 2010 1,524 863 Jan 13, 2012 #1 Jamani ni mbio za Urais 2015 ama ni ubinaadamu alonao x-spika..? nimeona picha yake akiwa kwenye msiba wa mzee wetu KIPARA ( PWAGU)............?
Jamani ni mbio za Urais 2015 ama ni ubinaadamu alonao x-spika..? nimeona picha yake akiwa kwenye msiba wa mzee wetu KIPARA ( PWAGU)............?
Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Jan 13, 2012 #2 Unafikiri kunyweshwa sumu mchezo kila mtu anataka kuishi bana