Sijawahi kufanya mapenzi toka nizaliwe!!

Mimi sipo huko kwenye madhara au faida, na wala sikusema amekosea kuuliza. Nilichotaka kujua ni ukomo wa imani yake kwa huyo Mungu wake anayemuamini. Kama uko serious na alichokisema ni ukweli basi kuna utani analeta au anajidanganya. Mimi angeniambia amejizuia kufanya kwa ajili ya kuepuka maradhi au maadili halafu akauliza hilo swali lake nisingemhoji kitu, lkn suala la kuniambia kwa ajili ya Mungu at the same time aniulize kama kuna madhara huo ni mzaha na huyo Mungu wake
thanx sana kwa ushauri wako,unajua sometime imani inaweza kukubana usifanye ki2 na ukafikiri kuwa unakupoteza kumbe inakulinda na majanga.Ni kweli imani yangu ndivyo inavyönifundisha hvyo.Lengo langu ni kujua kama kuna madhara yeyote yanazoweza kuepukika? Ili niyafanyie kazi lakini nikiwa katika the same standing?
Naamini tupo pamoja billionea.gd9t.
 
Mimi sipo huko kwenye madhara au faida, na wala sikusema amekosea kuuliza. Nilichotaka kujua ni ukomo wa imani yake kwa huyo Mungu wake anayemuamini. Kama uko serious na alichokisema ni ukweli basi kuna utani analeta au anajidanganya. Mimi angeniambia amejizuia kufanya kwa ajili ya kuepuka maradhi au maadili halafu akauliza hilo swali lake nisingemhoji kitu, lkn suala la kuniambia kwa ajili ya Mungu at the same time aniulize kama kuna madhara huo ni mzaha na huyo Mungu wake
Kufunga (fasting) ni sawa kwa Mungu. Ila if you don't do it properly inaweza kua na madhara. Na hivo hivo kukaa bila sex ni sawa kwa Mingu ila if you don't do it properly inaweza kua na madhara. sasa alikua anauliza kama kuna madhara au kama hakuna. Mi najua yapo. Does it mean he doubts God's order? sidhani
 
critical thinker
thnx & gd9t.
 
Fine answer, BUT; linapokuja suala la imani inabidi tuangalie msingi wake. Kwa mfano jambo ulilozungumzia la kufunga ni la kiimani na sio kisayansi. To the God, the proper way of fasting is supposed to be the most cruel. Nia ya kufunga ni kujitesa na sio kushinda na njaa huku unajitengenezea mazingira ya kurelax with an empty stomach. Ndio maana nikahoji i wapi imani ya dogo ikiwa haishi maisha ya kiimani?

Madhara pekee yanayoweza kuyapata mtu kwa kutofanya mapenzi ni ya kisaikolojia. Sasa kama unaishi ki-dini dini, hutakuwa na mawazo yenye kukupeleka huko. Labda uniambie unafuata sharti moja tu kati ya yale Mungu ameweka.
 
Doctor!
Nina umri wa miaka 23, toka nizaliwe sijawahi kukuuana na mwanamke, lakini sometime napata hamu sana ya kufanya mapenzi na kuna wakati sperm huwa zinatoka kwa wingi hasa nitakapofikiria tu kufanya mapenzi. Kinachonifanya nisifanye mapenzi ni kufuata agizo la Mungu toka kwenye biblia kuwa haturuhusiwi kufanya mapenzi mpaka tutakapooa ama mwanamke atakapoolewa.
SWALI: Kuna madhara yoyote kwangu kiafya na kimaisha kwa kufikisha umri huu pasipokufanya mapenzi?? Na kama kuna madhara ni madhara yapi hayo??

Nategemea kupata majibu ya kihekima zaidi.
AHSANTENI.

Vp unakwea mnazi? au inaishaje hiyo hamu?
 
Hii discussion yetu imeenda nje ya mada kidogo.
Sijakubaliana na wewe hapo bold. Nia ya kufunga ni mortification of the body for the benefit of the spirit. Kwa hiyo utarelax tu, na kufaidi spiritual well being, sio kujitesa per se. This is how I fast (of course you are free to fast differently).
Tukirudi kwa mtoa mada, I think mimi na wewe hatujaongea tofauti. Ikiwa ata- abstain huku anahisi kama kalazimishwa, basi atakua frustrated. ila kama ataamua consciously basi sioni kama kutakua na madhara.
 
Kuna madhara makubwa sana kutofanya sex mapema! mojawapo ni kutokujua mapema namna ya ku-handle suala zima la kufanya sex, kumjua kiumbe anayeitwa mwanamke (kama wewe ni mwanaume) and vv. Nitakuja na madhara mengine yaliyo kisayansi zaidi ngoja nikusanye data kidogo.
 
Jambo la msingi sana. Asante!
Hakuna madhara ya aina yoyote ile ila utapoamua kuanza kukutana na Mwanamke hakikisha unatumia kinga ili kuepuka kuambukizwa magonjwa mbali mbali ya zinaa ikiwemo ukimwi na pia kuepuka mimba zisizotarajiwa.
 
Kuna madhara makubwa sana kutofanya sex mapema! mojawapo ni kutokujua mapema namna ya ku-handle suala zima la kufanya sex, kumjua kiumbe anayeitwa mwanamke (kama wewe ni mwanaume) and vv. Nitakuja na madhara mengine yaliyo kisayansi zaidi ngoja nikusanye data kidogo.

tunakusubiri kwa hamu.
 
Hii discussion yetu imeenda nje ya mada kidogo.
Sijakubaliana na wewe hapo bold. Nia ya kufunga ni mortification of the body for the benefit of the spirit. Kwa hiyo utarelax tu, na kufaidi spiritual well being, sio kujitesa per se. This is how I fast (of course you are free to fast differently).
Tukirudi kwa mtoa mada, I think mimi na wewe hatujaongea tofauti. Ikiwa ata- abstain huku anahisi kama kalazimishwa, basi atakua frustrated. ila kama ataamua consciously basi sioni kama kutakua na madhara.

thanx indeed.
 
Doctor!
Nina umri wa miaka 23, toka nizaliwe sijawahi kukuuana na mwanamke, lakini sometime napata hamu sana ya kufanya mapenzi na kuna wakati sperm huwa zinatoka kwa wingi hasa nitakapofikiria tu kufanya mapenzi. Kinachonifanya nisifanye mapenzi ni kufuata agizo la Mungu toka kwenye biblia kuwa haturuhusiwi kufanya mapenzi mpaka tutakapooa ama mwanamke atakapoolewa.
SWALI: Kuna madhara yoyote kwangu kiafya na kimaisha kwa kufikisha umri huu pasipokufanya mapenzi?? Na kama kuna madhara ni madhara yapi hayo??

Nategemea kupata majibu ya kihekima zaidi.
AHSANTENI.

Hakunaga madhara, mbona mapadre wanazeeka bila kuwajamii/kuwangonoa mademu na hawapati madhara yoyote?
 
Believe me kila mwanamke alitamani kudumu na virgin hadi siku ya ndoa.
Kila mwanaume alitamani kuwa kama wewe (hata humu jf)... Lakini ni NGUMU KUMEZA!
Najua kuna madhara ya kuwa hivyo,lakini basi mmoja WETU na aseme kama madhara hayo yanazidi UKIMWI,HEPATITIS B,KASWENDE, ORCHITIS NA MADUDU MENGINE + WOGA WA KUPIMA HIV NA KUCHANGIA NDUGU DAMU.
YANAZIDI ULE MOTO WA JEHANAM (KAMA UPO) ?!
...WENGI WETU TUNACHAFULIWA KUANZIA 10+.
Dogo komaa hivohivo,Allah ana sababu nawe...mbona bado kidogo tu ?! In additional huu ni wakati wa kusaka kamchumba,tafuta kazurizuri kitabia na kisura,ikibidi kawe kamcha Mungu kama wewe ili kasikuvutie shimoni kirahisi. Ukiwa nae karibu atakupunguzia matatizo ya kisaikolojia,fanya nae utani wote but not coitus... Umethubutu,umeweza, lisongeshe mkuu !!!
 
kwa hiyo wewe kamanda huwa unapata hamu na sperm nyingi kutoka, hizo sperm zinatoka tuuuuuu bila kufanya aina yoyote ya uchakachauji? usijekudhani haujawahi kufanya mapenzi tangu uzaliwe kumbe ulishakamua long time ila indirect...ooh
 
Believe me kila mwanamke alitamani kudumu na virgin hadi siku ya ndoa.
Kila mwanaume alitamani kuwa kama wewe (hata humu jf)... Lakini ni NGUMU KUMEZA!
Najua kuna madhara ya kuwa hivyo,lakini basi mmoja WETU na aseme kama madhara hayo yanazidi UKIMWI,HEPATITIS B,KASWENDE, ORCHITIS NA MADUDU MENGINE + WOGA WA KUPIMA HIV NA KUCHANGIA NDUGU DAMU.
YANAZIDI ULE MOTO WA JEHANAM (KAMA UPO) ?!
...WENGI WETU TUNACHAFULIWA KUANZIA 10+.
Dogo komaa hivohivo,Allah ana sababu nawe...mbona bado kidogo tu ?! In additional huu ni wakati wa kusaka kamchumba,tafuta kazurizuri kitabia na kisura,ikibidi kawe kamcha Mungu kama wewe ili kasikuvutie shimoni kirahisi. Ukiwa nae karibu atakupunguzia matatizo ya kisaikolojia,fanya nae utani wote but not coitus... Umethubutu,umeweza, lisongeshe mkuu !!!

Very interesting...thanx indeed and God bless you!!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom