Losambo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 2,613
- 864
Kifupi ni hivi hakuna madhara yoyote yanaweza kukupata kama usipofanya mapenzi muda mrefu. Ila ili uweze kushinda inabidi umjue Mungu sana na kuogopa kutenda dhambi vinginevyo majaribu yatakuandama na unaweza kushindwa.
Kazana kusoma kama bado hujamaliza chuo na ujitahidi ufaulu ili upate kazi ya maana itayokupa mke mzuri maana hao wadada siku hizi hawakubali bila kazi ya maana.
Kazana kusoma kama bado hujamaliza chuo na ujitahidi ufaulu ili upate kazi ya maana itayokupa mke mzuri maana hao wadada siku hizi hawakubali bila kazi ya maana.