Sijawahi kuaminika kwa wapenzi wangu!

Thanx sana kwa ushauri wenu,nimeupokea kwa mikono miwili,nawaahidi mapenzi siwez kuyaacha kwa vile ndo age yenyewe kuelekea kwnye ndoa(i need to have enough experience huko b4 cjaingia kwnye ndoa,)kimsingi nimeshajua cha kufanya sasa,thanx wadau!
 
Unajuaje kama unaachwa kwa kutokuaminika? Kama wewe ni mwaminifu y hauaminiki? Unless you give out signs za kutokuwa mwaminifu ndio mtu atadoubt uaminifu wako.
Huyo bwana sio mwaminifu kabisa, ana matatizo sana japo mwenyewe hataki kuyakubali na anajiita muungwana! Huyo bwana angetueleza mambo anayowafanyia wapenz wake ingekua vyepesi kwetu kumshauri tokana na mapungufu yake!
 
Thanx sana kwa ushauri wenu,nimeupokea kwa mikono miwili,nawaahidi mapenzi siwez kuyaacha kwa vile ndo age yenyewe kuelekea kwnye ndoa(i need to have enough experience huko b4 cjaingia kwnye ndoa,)kimsingi nimeshajua cha kufanya sasa,thanx wadau!
Mkuu tueleze mambo unayowafanyiaga mpaka washindwe kukuamini!
 
Ndugu zangu wanaJF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 sasa,ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini,

Kwa hesabu za haraka haraka hiyo Form II ni kama miaka 6 or 7 iliyopita ukiwa na miaka 16 au 17... Sasa ndugu yangu kumbuka na ukubali wakati huo nyote mlikuwa bado akili zenu ni za kitoto..hivyo ukiwa na binti mtoto mwenzio ukadumu kwa mwaka mmoja una bahati..kwani nyote mlikuwa hata hamjui maisha yenu yanaelekea wapi.. ..Usichukue mapenzi ni kwenda Guest za uswahilini na kufanya sex...na ku'warm up' viungo vyenu.. Mapenzi ni mfumo wa maisha....hivyo basi kwa sasa hivi ukiwa na miaka 23 fikiri uhusiano wa sasa utakufikisha wapi... Angalia mbele.. Mapenzi ni maisha yako..unaweza ona dunia mbaya au Nzuri..

Otherwise, Kwa upande mwingine kuna uwezekano miaka ya karibuni mabinti wamekupiga chini kwani wao wameanza kukua ki -akili kabla yako..
 
umri wa o-level kuwa na mpenzi na mambo ya kuiga iga tu ili mradi nawe uonekane upo kwenye chart, swala jingine ni ukimya wako ndio unaofanya wakati mwingine binti asikuelewe mfaano hamuongei juu ya mstakabali wa maisha yenu. Ni vyema kuainisha malengo yako kwake na kuyajadili kwa pamoja hii kwake itamsaidia kufahamu msimamo wako.
 
Huyo bwana sio mwaminifu kabisa, ana matatizo sana japo mwenyewe hataki kuyakubali na anajiita muungwana! Huyo bwana angetueleza mambo anayowafanyia wapenz wake ingekua vyepesi kwetu kumshauri tokana na mapungufu yake!
ninachoelewa mimi,siku moja nishawah kutongozwa live mbele ya mpnz wangu tukiwa kwenye daladala bila mdada yule kujua aliyeko pembeni ni mpnz wangu,ishu ambayo baadae ilinisababishia kutokuaminika make mpnz wangu alidai kama hali ile inatokea tukiwa wote,je asipokuwepo inatokea mara ngapi??
 
Maipenzi huwezi yatofautisha na Maisha, hv vitu viwili pamoja na vingine vingi vyaendana! Unaweza ukawini maisha (mali) ukafeli ktk mapenz, ukaharibu vyote, na imeonekana kuwa wengi wanaofeli ktk mapenzi hupoteza maisha pia, wengine hugeuka kuwa machizi. Hebu mshauri mwenzio, sote tu vijana then kwa namna moja ama nyingine tuna challenges tunazoface ktk maisha, huyu challenge yake ipo ktk mapenzi, wewe challenge yako ipo ktk mali, ukiomba ushauri tutakuelekeza pia!

Ahsante sana Mkuu nimeupenda mchango wako. Ubarikiwe sana.
 
ninachoelewa mimi,siku moja nishawah kutongozwa live mbele ya mpnz wangu tukiwa kwenye daladala bila mdada yule kujua aliyeko pembeni ni mpnz wangu,ishu ambayo baadae ilinisababishia kutokuaminika make mpnz wangu alidai kama hali ile inatokea tukiwa wote,je asipokuwepo inatokea mara ngapi??
Ulikosea sana mkuu, kifupi ni kama vile ulimwonyesha zarau, wanawake hawayapendi hayo, hupendwa kudanganywa i mean angeyasikia kwa watu wa pembeni kumshawishi ingekua jambo dogo, bt kwa kushuhudia mwenyewe inakua ni ngumu sana! Mkuu jirekebishe!
 
hujanielewa kaka,yaani huyo mdada ndo alianza kunielezea hisia zake kwangu bila kujua nipo na beibe wangu
 
Mkuu kwa umri wako bado hujamaliza kubalehe (wengi watakataa lakini ndivyo ilivyo).Wewe hapo bado unawaza kununua redio kubwa, TV, Jeans ya bei mbaya, raba aina ya Nike/adidas, simu, etc. umeanza mapenzi mapema mno mdogo wangu. Kwa nini usipige shule ukatengeneza GPA kubwa kwanza kabla ya haya mambo??? Una kama miaka 7 au 8 ndo uoe kama unataka uwe responsible na humtegemia bi-mkubwa. Hata hao wapenzi unaowapata bado ni watoto so wanafanyafanya mabo tu. Acha zinaa kijana.Piga shule. Mche muuumba wako.Hivi vingine utazidishiwa!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom