Sijawahi kuaminika kwa wapenzi wangu!

The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,247
Ndugu zangu wanaJF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 sasa,ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini,nimekuwa kwenye uhusiano na mabinti tofauti tofauti tangu nilipokuwa form2,tatzo langu ni kwamba cjawah kuaminika hata siku moja,ki ujumla mimi ni mtaratibu sana na huwa sipendi kuongea na wadada mara nyingi,huwa nikiwa na mpnz nampenda kwa dhati,tatzo baada ya muda ataanza kuonesha dalili za kutoniamini,mwishowe uhusiano unavunjika,tafadhali naomba ushaur wenu nifanyeje ili niaminike kwa huyu wa sasa make nae keshaanza kulaumu namchakachua eti,nawasilisha!
 
suala la msingi: je ww ni muaminifu? btwn u and us,unaweza kujihakikishia kuwa all the time unaposhukiwa kunakuwa hakuna hata wazo la kuchakachua kichwani kwako?manake kama ww sio muaminifu usimtake mwenzio akuamini!
swali la msingi, je unajua sababu zao kudhani kuwa ww sio muaminifu? waulize afu uache hayo mambo yanayokupa image ambayo huna!
 
Unaonekana humuonyeshi mapenzi ya dhati mpenzi wako, kwa hiyo anaanza kujiuliza maswali whether unampenda au vipi, kwa kifupi ukitaka kuaminika na mpenzi wako uwe muwazi sana kwake, usiwe na mambo ya pembeni, mara msg haziishi ukiwa nae, mwonyeshe kama yuko peke yake,na kila siku mkumbushe kwamba unampenda sana
 
Ni maisha tu hayo
Nadhani ndo uko kwenye ule hatua
Ya ku tafuta... unapitia tu..

Saa nyingine tatizo si lako bali
Ni la upande wa pili..

Jupata jibu la uhakika..
Jaribu kumuuliza muhusika..
Nini kimekufanya mpaka uwaze hivyo?.
Maana huwezi ku fix tatizo kama hujui
Chanzo chake..
 
hatari basi,,kama mambo yenyewe ndio hayo. lazima wasikuamini, na hutaki kujiamnisha, change yr life style then kama unataka uaminifu juu ya unae mpenda wasiwe wengiiiiiii,,iyo no
 
Kwanini usiaminike? Kuwa muwazi wewe haiwezekani wasichana wote wakuache kwa matatizo yao wenyewe labda kama unapesa sana wanakuchuna tu au we kipanga wanaku-utilize!! Au, wanaume wapenda ngono huwa hawaaminiki sasa yawezekana hii ikawa sababu ya kumfanya huyo ulie nae asikuamini/akulaumu kuwa unamchakachua. Hata hivo jibu sahihi utalipata kwake, so tafuta muda uongee nae atakwambia chanzo yeye kutokukuamini pengine hiyo foleni ya nyuma inamtisha.
 
miaka 23.......
unaomba ushauri wa mapenzi?????

hebu njoo uombe ushauri wa maisha kwanza......
jifunze to grow up right first....
hao wadada wapo tu......
utakuja aminika ukioa.....
 
Hebu acha tabia uliyonayo sa hivi ya utaratibu, utaaminika. Ila mbona umeanza mambo ya kikubwa mapema hivyo?
 
miaka 23.......unaomba ushauri wa mapenzi?????hebu njoo uombe ushauri wa maisha kwanza......jifunze to grow up right first....hao wadada wapo tu......utakuja aminika ukioa.....
Kwani muda umri gani Ndio sahihi kuomba ushauri wa mapenzi??Na je mapenzi sio sehemu ya maisha??Samahani mkuu kwa maswali.
 
Unaonekana macho juu labda, kwa nini usiaminike na mpenzi wako? lazima kuna kitu kinawafanya wakuone sio mwaminifu
 
suala la msingi: je ww ni muaminifu? btwn u and us,unaweza kujihakikishia kuwa all the time unaposhukiwa kunakuwa hakuna hata wazo la kuchakachua kichwani kwako?manake kama ww sio muaminifu usimtake mwenzio akuamini!
swali la msingi, je unajua sababu zao kudhani kuwa ww sio muaminifu? waulize afu uache hayo mambo yanayokupa image ambayo huna!

You're quite right king'asti ,Huyu dogo ameanza kutembea na wasichana tofauti tofauti tangu Form2. Anataka ni hapa na ni kipi asichojua kuhusu kiwango chake cha uaminifu. Anataka malaika washuke wamweleze kuwa siyo mwaminifu au labda tafsri yake ya uaminifu ni nini?. Anataka wamwamini au aaminike kwa lipi wakati anaruka ruka na wasichana tangu Form2. Tulia kwanza bwanamdogo ujifanyie tathmini acha kukana ukweli kuwa wewe siyo mwaminifu na uaminiki?
Tumia akili acha kujishangaa wakati majibu yote unayo huhitaji kuleta upuuzi hapa. Wewe kwa ufupi huaminiki na wamekujua na ndivyo ulivyo kama ulivyokiri kwani kutembea na wasichana lukuki hiyo ni very strong indicator kuwa u kiwembe wewe.
 
kwa mwanaume bora ujifunze mengine kwanza
Sawa mkuuLakini si bora huyu kaja kuomba..Wengine miaka 18 tayari macheche..Na wanajiona wanayafahamu mapenzi kupit kiasi.Na sisi wanatuona "old fashion "Mie naona huyu wA miaka hii msaidieTu mkuu utanalosema laweza msaidia baadaye.. sante mku
 
afro
anakuona old fashion
kwani wewe wa miaka ipi?????lol
 
Ndugu zangu wanaJF,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 sasa,ni mwanafunzi katika moja ya vyuo vikuu hapa nchini,nimekuwa kwenye uhusiano na mabinti tofauti tofauti tangu nilipokuwa form2,tatzo langu ni kwamba cjawah kuaminika hata siku moja,ki ujumla mimi ni mtaratibu sana na huwa sipendi kuongea na wadada mara nyingi,huwa nikiwa na mpnz nampenda kwa dhati,tatzo baada ya muda ataanza kuonesha dalili za kutoniamini,mwishowe uhusiano unavunjika,tafadhali naomba ushaur wenu nifanyeje ili niaminike kwa huyu wa sasa make nae keshaanza kulaumu namchakachua eti,nawasilisha!
Mkuu waweza dhani u'mstaarabu bt kumbuka kuwa Issue ya ustaarab ni relative. So mimi naamin unamapungufu makubwa sana, tena yatakudhuru sana ktk mahusiano! Jaribu kudadisi kutoka kwa wapenz wako au rafiki zao. BUT TAMBUA KUA UNAMATATIZO!
 
Unajuaje kama unaachwa kwa kutokuaminika? Kama wewe ni mwaminifu y hauaminiki? Unless you give out signs za kutokuwa mwaminifu ndio mtu atadoubt uaminifu wako.
 
miaka 23.......unaomba ushauri wa mapenzi?????hebu njoo uombe ushauri wa maisha kwanza......jifunze to grow up right first....hao wadada wapo tu......utakuja aminika ukioa.....
Maipenzi huwezi yatofautisha na Maisha, hv vitu viwili pamoja na vingine vingi vyaendana! Unaweza ukawini maisha (mali) ukafeli ktk mapenz, ukaharibu vyote, na imeonekana kuwa wengi wanaofeli ktk mapenzi hupoteza maisha pia, wengine hugeuka kuwa machizi. Hebu mshauri mwenzio, sote tu vijana then kwa namna moja ama nyingine tuna challenges tunazoface ktk maisha, huyu challenge yake ipo ktk mapenzi, wewe challenge yako ipo ktk mali, ukiomba ushauri tutakuelekeza pia!
 
Gagurito unamiaka 23 au nini?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom