sijatembea nae ila......

Muuza Sura

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,985
1,345
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
 
...mdomo huponza kichwa, heri ya nusu shari...
huyo psycho atakufanya mbaya kweli ukileta utani!

lol,...wewe mwambie ukweli tu.
 
Tembea nae then omba msamaha

kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
 
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae

Stick to what you know... kama hujatembea nae usikubali, na hata kama umetembea nae pia usikubali

ila uache sasa kutembea na mkewe (kama unatembea nae)
 
mkuu mke wa mtu sumu ntaruka nirukavyo ila si kwa mke wa mtu!!!sema mshkaji anikomalia sana sijui kwanini....f.y.i jana usiku karudi kwake hajamkuta mkewe break ya kwanza kwa mshkaji wangu ili amlete home akidhani nipo na mkewe!huwezi amini jamaa kazunguka nyumba yote,makabatini mpaka uvunguni hajaona kitu!nimejisikia vibaya mpaka nimeamua kutaka ushauri na mbaya zaidi kanipigia leo mchana nimwambie kama nimetembea nikizidi kukataa atanifanya mbaya!hiyo mbaya ndo inaninyima amani
 
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
ukubali ukatae jua kuna siku jamaa atatembea na wewe
 
Ah, we unatuchanganya sasa,kule jukwaa la Siasa unajinsibu kama Demu,huku umetembea na mke wa mtu, are you LESBIAN??
 
ukubali ukatae jua kuna siku jamaa atatembea na wewe
Sure Mkuu, Jamaa kule jukwaa la SIASA tunamjua ni Demu, sasa ndo nimemuuliza kama ni Lesbian, basi lazima Jamaa mwenye mke lazima amchape on day
 
mkuu mke wa mtu sumu ntaruka nirukavyo ila si kwa mke wa mtu!!!sema mshkaji anikomalia sana sijui kwanini....f.y.i jana usiku karudi kwake hajamkuta mkewe break ya kwanza kwa mshkaji wangu ili amlete home akidhani nipo na mkewe!huwezi amini jamaa kazunguka nyumba yote,makabatini mpaka uvunguni hajaona kitu!nimejisikia vibaya mpaka nimeamua kutaka ushauri na mbaya zaidi kanipigia leo mchana nimwambie kama nimetembea nikizidi kukataa atanifanya mbaya!hiyo mbaya ndo inaninyima amani
Kumbe demu mwenyewe kicheche, na jamaa zezeta aisee

kaa mbali na hiyo familia
 
Mimi nakushauri tofauti,nenda karipoti polisi maana jamaa atakuumiza kweli.Kwani we upo close sana na mkewe?Au kwanini jamaa awe hana imani na wewe?
 
1. Sasa kama hujatembea nae unataka umwambie nini tena zaidi ya KUMWAMBIA SIJATEMBEA NA MKE WAKO!! hakuna ushauri wa kuongea ukweli.
2. Huyu jamaa naona anatafuta namna ya kumwacha mke wake sasa ukijichanganya tu wewe utakua chanzo
3. Mwambie amuulize mke wake ndiyo mwenye jibu kama unayomweleza haelewi
4. Mkanye aache kukuchafulia jina lako coz hiyo ni kashfa kubwa sana kama ni kweli hujagonga
 
kuna jamaa ananilazimisha nikiri nimetembea na mkewe!kila nikikataa haamini na ameniambia nikikiri atanisamehe ila nikiendelea kukataa atanifanyia kitu kibaya!ukweli sijatembea nae.....naombeni ushauri kwani nimekosa amani natamani niseme nimetembea na mkewe ili anisamehe kama alivyonihaidi japo sijatembea nae
ahahahaaaaaaaaaaa...ndio zao siku hizi,mimi kuna jamaa kasema eti ataniua nisipomwacha mkewe_lakn naapa katu sijawahi kutembea na mke wa mtu...labda wachumba wa watu kidogo ninaibaga.
 
Sure Mkuu, Jamaa kule jukwaa la SIASA tunamjua ni Demu, sasa ndo nimemuuliza kama ni Lesbian, basi lazima Jamaa mwenye mke lazima amchape on day
huyu lazima akute creampie atakapozinduka, la sivyo ahame mji, makosa ya ngono wanaume mmekuwa wagumu sana kusamehe
 
demu kicheche!!!!!!!!!!!!!?huyo jamaa anahisi inawezekana anachohisi si sahihi.

yeah, that is a possibility... Ila sasa ya mtu kutoka home kwenda kwa wanaume wengine kukagua nyumba zao, ina maana jamaa is 99% certain kwamba mamaa anamzunguka, na hapohapo, mateso yote ya nini ya kuzunguka nyumba za watu kukagua mkeo yupo wapi kama sio kujidhalilisha tu?? si amuache basi mama aendelee na maisha yake??

It is not a good picture mkeo au mumeo anaanza kupigia watu simu au kuwafuata kuwakataza wasitembee na mmewe/mkewe.... mambo ya ndani yanatakiwa wamalizane wenyewe na sio kuhangaika na public coz there is not a single solution that will come outside the ndoa na wanadoa wao wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom