Sijaona mmasai mlemavu wa kuzaliwa iwe ulemavu wa viungo au wa ngozi

Je ulishaona wamasai wenye ndevu!!!! sitanii wamasai ka wapo wenye ndevu wachache sana unaweza fanya uchunguzi mwenyewe ukajionea
 
Wamasai wanapaka udongo mwilini. Sasa wewe unasema hujawaona wana ugonjwa wa ngozi,but for how long will that be? Wakijipaka madongo,wataugua tu ugonjwa wa ngozi. Jambo moja nasikitika sana kuhusu Wamasai. Serikali ya CCM imeweza kuwaendeleza Watanzania wote isipokuwa Wamasai. Mpaka leo wanavaa nguo zao za Kikabila,kwa makusudi,kwa sababu kuna watu wamewasifu kwamba ni mashujaa,ni waaminifu,wanafaa kuwa walinzi,basi,wanahakikisha kwamba hawaendi shule,wanahakikisha kwamba wanakuwa very traditional ili wapate kazi za kuwa watchmen. Kwani wakivaa suruali hawawezi kuwa watchmen? Serikali ya CCM ni inapaswa kuwalazimisha wamasai kuvaa suruali. Unapita mtaani,humfahamu nani Mchaga,nani Msukuma,na hivyo ndivyo inavyotakiwa kuwa,kama tunataka kujenga Taifa. Lakini Mmasai anajulikana mara moja,kwa sababu anavaa nguo zake za kitamaduni. Kwa nini Mmasai atake watu wote wamfahamu kwamba yeye ni Mmasai? Tena mimi nimewaona Wamasai ambao hawatakai kuitwa Wamasai. Mmasai mmoja aliniambia ,kwa hasira kidogo,"Tafadhali usiniite 'Mmasai',niite 'Mchagga',kwa nini unaniita 'Mmasai',unataka watu wanidharau?"
 
Duh, kumbe kuwa na chaguo la cha kuvaa ni kosa?? Wanajipaka madongo, etc etc etc

Duh taratibu mkuu punguza kasi manake uendako si penyewe mkuu!!!
 
wamasai walemavu wapo lakini hawatoki Arusha wanatoka chalinze ndio hawo wanazunguka mjini na ni hatari kwa kuchafua mazingira sababu kubwa ni kutokuwa na makazi maalumu mara nyingi wanajisaidia kwenye mifuko ya plastic na kuitupa hovyo

Inayojulikana pia kwa jina la Flying toilet kwa mujibu wa bwana Kibunango
 
Wakuu hivi hii jamii ya wenzetu Ni kwamba imebalikiwa? Au?

Je! Wewe ulishawahi kukutana na Masai mwenye ulemavu!!???
 
Ideal umetoa kwa ITV katka kopindi cha dk 45. Acha watafiti watoe majibu tuone kwa nin albino . watoto wenye migongo wazi nk hawapo umasaini.
 
Wakuu hivi hii jamii ya wenzetu Ni kwamba imebalikiwa? Au?

Je! Wewe ulishawahi kukutana na Masai mwenye ulemavu!!???
Mimi nimemuona bubu yupo pale kiteto mjini kibaya nifundi mzur wa kusuka nywere
 
Back
Top Bottom