Sijaona mmasai mlemavu wa kuzaliwa iwe ulemavu wa viungo au wa ngozi

KyelaBoy

JF-Expert Member
Nov 9, 2008
206
22
Ndugu zangu hwa muda mrefu nimekuwa najiuliza hili kabila la Kimasai kutokuwa na watu waliozaliwa na ulemavu wa aina yoyote ile,sijui ni siri gani ambayo inawafanya kutokuwa na walemavu na si tu walemavu wa viungo hata wale wa ngozi,sijui kama wenzangu nanyi mmeweza kuliangalia hilo kwa mapana na marefu.
Nakaribisha mjadala,
 
Sababu ya kwanza inaweza kuwa genetics effects,sababu ya pili inaweza kuwa ni kazi za wakunga wa jadi (waulize wapare,mtoto akianza kuota meno ya juu inakuwaje,au hata leo watoto mapacha kule usafwani inakuwaje) na sababu ya tatu ni mazingira yao. Hivi mmasai mlemavu angemudu vipi ngarambe za porini,kumbuka huko nyuma hawakuwa na nyumba,ili uoe lazima ulete kichwa cha simba. Kwa hiyo utaona moja kwa moja kuwa mlemavu kwa mazingira ya kimasai ya enzi hizo ilikuwa ni tatizo kwa familia. Leo wamelala Buguruni na kesho hao Tegeta nani atakubeba kila siku,kwa vyo vyote vile unakuwa kitoeo cha fisi na jamaa zake.
 
wapo ila ni wachache,napofanya kazi amekuja masai ambae ni mlemavu,na pia nimeshaona hata taahira pia katika hilo kabila.
 
Sina uhakika, ila nasikia mtoto akizaliwa mlemavu, mfupi, ama mwenye kasoro yeyote huwa wana assasinate akiwa bado kinda...
 
Kama alivyosema Malila, wamasai siku hizi walemavu wapo na wanaonekana. Thats a great development kwao, maana since time immemorial hawa jamaa ni transhumance pastoralists, hivyo walemavu walikua chakula cha wanyama. Walemavu hawakupata nafasi back then but wapo nowdays!
 
(waulize wapare,mtoto akianza kuota meno ya juu inakuwaje,au hata leo watoto mapacha kule usafwani inakuwaje) na sababu ya tatu ni mazingira yao.

Ndugu Malila eleza kitu kinachoeleweka. Mi natoka USAFWANI. kINACHOFANYIKA JUU YA WATOTO mAPACHA ni mila za kawaida kuwafanya wale watoto wawe strong. Inajulikana wazi kwamba watoto mapacha huwa na udhaifu flani, kwa mfano auguapo mmoja, kuna uwezekano wa mwenzie pia kufuata mkondo huo. Sasa mila za huko ni kwa nia ya kuwafanya wasiwe na trend inayofuatana hivyo! Upo?
 
Last edited:
Ndugu Malila eleza kitu kinachoeleweka. Mi natoka USAFWANI. kINACHOFANYIKA JUU YA WATOTO mAPACHA ni mila za kawaida kuwafanya wale watoto wawe strong. Inajulikana wazi kwamba watoto mapacha huwa na udhaifu flani, kwa mfano auguapo mmoja, kuna uwezekano wa mwenzie pia kufuata mkondo huo. Sasa mila za huko ni kwa nia ya uwafanya wasiwe na trend inayofuatana hivyo! Upo?

Kama suala ni hilo kwa nini wazazi wa hao mapacha hutengwa ktk matukio ya kawaida ya kijamii mpaka mwaka uishe? kwa mfano hata kupata pombe kilabuni ni nongwa eti kwa sababu ana mapacha,kunyoa nywele kwa masharti nk. Mbona kwingine hamna hayo?
 
leo ndio nimeamini kuwa husichokijua ni sawa na usiku wa kiza kinene.....nyie endeleeni tu..............kwani UFISADI sio ULEMAVU?
 
Wamasai practises Eugenics wafupi, walemavu wakunga nanamaliza kabla ya familia kujua. Thats why they look so good.
 
Ndugu Malila eleza kitu kinachoeleweka. Mi natoka USAFWANI. kINACHOFANYIKA JUU YA WATOTO mAPACHA ni mila za kawaida kuwafanya wale watoto wawe strong. Inajulikana wazi kwamba watoto mapacha huwa na udhaifu flani, kwa mfano auguapo mmoja, kuna uwezekano wa mwenzie pia kufuata mkondo huo. Sasa mila za huko ni kwa nia ya kuwafanya wasiwe na trend inayofuatana hivyo! Upo?

Mbona hujaisema hiyo mila? Mila gani hiyo? Au kuna ma Dr. Josef Mengele huko wana toa "The Final Solution" kutengeneza a pseudo Aryan African people a la NAZI?
 
Wamasai practises Eugenics wafupi, walemavu wakunga nanamaliza kabla ya familia kujua. Thats why they look so good.

Your right Mazee

[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Eugenics"]Wikipedia, the free encyclopedia[/ame]
 
Labda wanawaua, lakini sina ushahidi kama wanafanya hivyo.
 
Wamasai practises Eugenics wafupi, walemavu wakunga nanamaliza kabla ya familia kujua. Thats why they look so good.
Ni kweli, nilisoma Ilboru ya enzi hizo, hata kupata demu wa kimasai ni ishu.
akizaliwa zeruzeru, mapacha ama na ulemavu wowote, mkunga wa jadi anamaliza kila kitu. yoyote unayemuona amesurvive, ujue kazaliwa hospitalini.
kitu kimo kuhusu wamasai, jamaa ni wazuri kwa dawa za kiasili. ile tabia ya morani wa rika moja kuwaingilia wake wa rika lao wakati mwenyewe hayupo ni kweli, lakini amini usiamini, mimba ya mwingine yoyote haitungi ni mpaka mwenye mali tuu ndio inatunga.
 
hii hata ukuryani kwetu ipo, ilikuwa desturi mkunga kuuwa kiumbe endapo kitazaliwa katika hali ya ulemavu, hasa viwete, sababu waliamini kuwa hawatakuwa na muangalizi katika mahitaji yao endapo wakiwa wakubwa, pia ilitokea kwa walio tokea kuuguwa magonjwa yasio tibika kama vile ukoma, hata umeupata ukubwani, hao walipotezwa katika jamii, wengi wao walipelekwa maporini na kuuwawa au kuwaacha wakiwa wamefungwa kamba miguuni ili waliwe na fisi.
 
Msusi wangu alikuwa mmasai wa kiume, alikuwa na ulemavu wa mguu.
Hivyo vilema wapo kama kwenye makabila mengine.
I miss him so much.
 
wamasai walemavu wapo lakini hawatoki Arusha wanatoka chalinze ndio hawo wanazunguka mjini na ni hatari kwa kuchafua mazingira sababu kubwa ni kutokuwa na makazi maalumu mara nyingi wanajisaidia kwenye mifuko ya plastic na kuitupa hovyo
 
Back
Top Bottom