Sijaona mkare (4 girls)

Wana janvi hizi ni picha zangu zikionyesha stages tofauti , kwanzia udogoni li akina dada muweze kuona mtoto atakaye tokana na mimi anaweza fananaje. pia nime ambatanisha na vyeti mbali mbali vya vuo ambavyo nimesha pitia. kuna picha nime zi sahau ila nita zi upload kesho morning.1. mwaka 1996 2. mwaka 1998 nikiwa stdn 2 3. mwaka 2005 nikiwa form 2 4. chet cha basic technitian nilichopokea 2009. 5. ni matokeo yangu ya form 4 in 2007. 6. nilikuwa awarded certificate honor in debate nilipo maliza form 4. 7 . kuna chuo cha computer nilisoma pindi niko form 3 mwaka 2006. 8 .nilihudhulia semina iliyo husu watoto wenye mtindio wa ubongo. 9. curently
haaah haaah haaah dah mwana B.O.G ucjal utapata mtoto wa ukweli biliv me man wadada kibao tu wanatafuta real luv, bt picha yako ya mwaka 1996 duh itawaopesha haaah haaah ulikua wapi enz hizo?somalia au?
 
Kila la heri kijana.....

Japokuwa sijaelewa......title na contents..kama vile haviendani????!!!!....................
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh..we dogo kama sio mi-bange inakusumbua basi una matatizo ya akili,yani kila unachoambiwa we unafanya tuaya basi tuwekee na naniiiiiiiii yako tuione..mkiambiwa msipulize ayo majani mnaona watu wabaya kweli ona sasa,izi sio akili zako kabisa
 
Dah nimesoma majibu ya BOG hapa, this guy sounds determined, n so confident, dah age limit aliyoiweka ingekua ime expand kidogo.......! dah labda......
 
I beg To nominate this as THE POST OF THE YEAR for 2011 so far (may be others to come)
Najua watu wengi hawapendi kuweka picha zao hapa kwa sababu tofauti, na siwapingi (maana hata mi ni mmoja wao), Hata hivyo sipingi suala la huyu BOG kuweka picha zake. I believe kwa upeo alio nao (kwa namna alivyojibu maswali na kujieleza), ametathmini na kuona kuwa inafaa.

Kuna kitu kimoja ambacho namu-admire nacho huyu jamaa; hajamjibu mtu kwa jazba, pamoja na kejeli, vijembe na pengine matusi aliyopokea kutoka kwa wengine wetu. Kikubwa zaidi, baadhi yetu tumekuwa tukitoa au kuuliza points zilizochanganywa na kejeli, lakini yeye anachambua point anaijibu, anaachana na kejeli, kitu ambacho kwa wengi hapa JF sio rahisi. Kwa hili wala siogopi kusema kuwa japo wewe ni mdogo wangu sana lakini nimejifunza. Naamini wapo wengine pia wamejifunza.
 
sasa mdogo wangu bog ebu nikuulize maswali machache ili nione jinsi ya kukusaidia

1. Umeshawai kuwa na demu kabla,kama ndio nani alikutongozea?

2. Umeshawai kufanya tendo la ndoa,kama ndio nambie ulijiskiaje?

3. Wewe ni mwanamziki wa kufokafoka,kama ndio umeshatoa singo?

4. Una undugu na hayati remy ongara,kama hapana mbona mmefanana mashavu?

5. Upo tayari ku-edit miaka yako iendane na sura yako,kama ndio umetoa wapi iyo tabia ya kudanganya watu umri?

Ok naomba nijibu then nitakusaidia mdogo wangu,kwani uko presentable,jasiri, unajua kuvaa yani kama enzi za mc hammer vile,japo kuna mdau apa kanidokeza kwamba pia unaonekana kwa kiduku we ni balaa..mimi ndio matumbo bin matumbo,karibu nikusaidie!!!

nonsense
 
Wana janvi hizi ni picha zangu zikionyesha stages tofauti , kwanzia udogoni li akina dada muweze kuona mtoto atakaye tokana na mimi anaweza fananaje. pia nime ambatanisha na vyeti mbali mbali vya vuo ambavyo nimesha pitia. kuna picha nime zi sahau ila nita zi upload kesho morning.

1. mwaka 1996 2. mwaka 1998 nikiwa stdn 2 3. mwaka 2005 nikiwa form 2 4. chet cha basic technitian nilichopokea 2009. 5. ni matokeo yangu ya form 4 in 2007. 6. nilikuwa awarded certificate honor in debate nilipo maliza form 4. 7 . kuna chuo cha computer nilisoma pindi niko form 3 mwaka 2006. 8 .nilihudhulia semina iliyo husu watoto wenye mtindio wa ubongo. 9. curently

dogo nina uhaika ushawapoteza mademu wote .. ngoja mm niweke picha ya skani kwangu tu . uani kwangu ili uone kuwa wewe bado unatakiwa usome na sasa hivi sio mda au kwa umri wako huo hutakiwi kabisa ukimbilie kuanza maisha .. dogo fight kwanza utoke .. ok well ima gonna put sm of ma stuff
 
duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh..we dogo kama sio mi-bange inakusumbua basi una matatizo ya akili,yani kila unachoambiwa we unafanya tuaya basi tuwekee na naniiiiiiiii yako tuione..mkiambiwa msipulize ayo majani mnaona watu wabaya kweli ona sasa,izi sio akili zako kabisa
Huwa sipendi ubabaishaji maranyingi huwa najaribu kumaanisha nilicho kisema ama ninacho kusudia , 4 ur information i dont drnk , i do`nt smoke and i do not drug. then sorry i am not looking for a gey coz ur a man then u wanna c my naniii 4 what?
 
mm.jpg scan0002.jpg
hongera dogo kwa kujianika kiasi hiki hii inaonyesha kuwa hujajua maana ya forums ..forums sio facebook.
Haters gona hate and players gona play. yakwanza nilikuwa sehemu sehemu , na ya pili niko na mshikaji wangu nimeshika begi jeusi mkono wa kushoto tukiwa chuoni 2009.
 
Dah nimesoma majibu ya BOG hapa, this guy sounds determined, n so confident, dah age limit aliyoiweka ingekua ime expand kidogo.......! dah labda......
Seriously age is just a number and does not matter that much bt lets say 18 to 25 ur all wlcmd.
 
dogo nina uhaika ushawapoteza mademu wote .. ngoja mm niweke picha ya skani kwangu tu . uani kwangu ili uone kuwa wewe bado unatakiwa usome na sasa hivi sio mda au kwa umri wako huo hutakiwi kabisa ukimbilie kuanza maisha .. dogo fight kwanza utoke .. ok well ima gonna put sm of ma stuff
dogo tuko pamoja...? sio unatuwekea vyeti vya kushinda debate shule ya msingi huko
my swagaaaaaaaaaaaa.jpg
 
I beg To nominate this as THE POST OF THE YEAR for 2011 so far (may be others to come)
Najua watu wengi hawapendi kuweka picha zao hapa kwa sababu tofauti, na siwapingi (maana hata mi ni mmoja wao), Hata hivyo sipingi suala la huyu BOG kuweka picha zake. I believe kwa upeo alio nao (kwa namna alivyojibu maswali na kujieleza), ametathmini na kuona kuwa inafaa.

Kuna kitu kimoja ambacho namu-admire nacho huyu jamaa; hajamjibu mtu kwa jazba, pamoja na kejeli, vijembe na pengine matusi aliyopokea kutoka kwa wengine wetu. Kikubwa zaidi, baadhi yetu tumekuwa tukitoa au kuuliza points zilizochanganywa na kejeli, lakini yeye anachambua point anaijibu, anaachana na kejeli, kitu ambacho kwa wengi hapa JF sio rahisi. Kwa hili wala siogopi kusema kuwa japo wewe ni mdogo wangu sana lakini nimejifunza. Naamini wapo wengine pia wamejifunza.
bro thank u alot and ur the man.
 
View attachment 34458View attachment 34459 Haters gona hate and players gona play. yakwanza nilikuwa sehemu sehemu , na ya pili niko na mshikaji wangu nimeshika begi jeusi mkono wa kushoto tukiwa chuoni 2009.
dogo soma ... huna swaga za kumvutia mwanamke yoyote hapa JF ukae ukijua kuwa baadhi yao wako mbele .. wengine tunaishi kwenye gym tukiweka picha zaetu hapa tutavuruga ndoa za watu .. sasa soma maliza chuo kuna bodi ya mkopo siku hizi huwezi kusingizia kuwa wazazi wako ni maskini,... ukishamaliza chuo piga ujasiriamali ukiweza kununua madude kama hayo hapo chini njoo hapa JF ..asikudanganye mtu mapenzi bila pesa sio mapenzi
ok?
 
Back
Top Bottom