Sijaona mkare (4 girls)

Hivi wabongo tutaacha lini kusema uongo? Mkuu B.O.G umesema una miaka 23 lakini navyokuona mkuu yawezekana uko kwenye 29 au 30 hivi!! naomba ufafanuzi kidogo kuhusu umri wako kiukweli, kabla sijakuunganisha na dada yangu, yeye anazo sifa zote ulizosema na za ziada siwezi kuzisema.
ha ha ha ha ha ha kadanganya umma kweli muonekano wake hauna ushuhuda kama ana miaka hiyo
 
Mkuu mwisho wa kupokea maombi lini..? (deadline). Tusijepoteza muda ku update CV zetu kumbe wewe ushapokea maombi ya kutosha na hupokei tena lol.
Kwa kifupi kila kitu kitawekwa wazi , nitakuwa nikiwafahamisha kila hatua ambayo nitakuwa nimefika. na mpaka sasa nimepokea sms 1 kwenye mobile yangu ambayo ilikuwa ikinipa pole , juu ya yale ninayo kabiliana na yo hapa.
 
Brother B.O.G, Firstly, please note your writing depicts your character and thoughts - Jinsi ulivyoandika kimikato, na lugha mbovu, Sidhani kama nitamruhusu dada yangu akusogelee na pia nitamkubalia dada yangu kama atasema wewe ni sharobaro au msela asiye na mbele wala nyuma. Kama unatafuta mwenza wa kweli andika kwa lugha unayoilewa na kwa ufasaha.
1st Shemeji mwambie dada kwamba mie sio jounalist au mwandishi wa magazeti ya majira na wala sijawahi kushiriki kwenye mashindano ya uandishi. 2nd mwambie hata nikiandika kwa peni mwandiko utafikiri bata kapita 3rd mwabie dada sipendi mapenzi ya karatasi (barua) wala ya simu (sms) maana ni ya uongo. 4rh mwambie dada kuwa nime yakata kata maandishi sababu watu wana kazi nyingi za kufanya hawawezi soma habari yangu 2 all the day. 5th Dada kasema mie ni shalobaro ( mtu aneye bring bring au kujipenda ,kutokana na nilivyo ambiawa na jirani yangu) , mwabie hapo kapata 10% sababu toka nizaliwe sijawahi vaa kata K , Nina pea moja ya kiatu safari boot ingawa sasa imechoka na sandols za ngozi , simu ninayotumia ni Nokia 1202 ambayo nimeiwekea betry sa simu yangu ya sasatel ambayo nimeifunga kwa kamba ya kiatu, Ukinipigia hata niwe na nani nitaitoa na kupokea sababu I DO`NT CARE. 6th Nikweli sina nyuma , ila mbele ninapo maana mshahara wangu wa mwezi unazidi kima cha chini. WABEJA MWANA WANI!!!
 
haaaah haaah dah mwana B.O.G nakupa respect mkuu, anyway nitaku pm nikupe maujanja, wote ma men so sina jelous me ntakupa maujuz ya kweli uweze kufanikisha lengo lako.
 
1st Shemeji mwambie dada kwamba mie sio jounalist au mwandishi wa magazeti ya majira na wala sijawahi kushiriki kwenye mashindano ya uandishi. 2nd mwambie hata nikiandika kwa peni mwandiko utafikiri bata kapita 3rd mwabie dada sipendi mapenzi ya karatasi (barua) wala ya simu (sms) maana ni ya uongo. 4rh mwambie dada kuwa nime yakata kata maandishi sababu watu wana kazi nyingi za kufanya hawawezi soma habari yangu 2 all the day. 5th Dada kasema mie ni shalobaro ( mtu aneye bring bring au kujipenda ,kutokana na nilivyo ambiawa na jirani yangu) , mwabie hapo kapata 10% sababu toka nizaliwe sijawahi vaa kata K , Nina pea moja ya kiatu safari boot ingawa sasa imechoka na sandols za ngozi , simu ninayotumia ni Nokia 1202 ambayo nimeiwekea betry sa simu yangu ya sasatel ambayo nimeifunga kwa kamba ya kiatu, Ukinipigia hata niwe na nani nitaitoa na kupokea sababu I DO`NT CARE. 6th Nikweli sina nyuma , ila mbele ninapo maana mshahara wangu wa mwezi unazidi kima cha chini. WABEJA MWANA WANI!!!
Waooo.. Nimependa ulichoandika hapo juu..
 
haaah haaah, realy hard guy. Ok hapo umefunguka mazima big up man, utapata mtoto mkali tu na mwenye mkwanja wa kutosha tu wala ucjal abt ur salary kuwa ndogo wala simu kufunga na kamba n.k,
kinacho matter ni real mwana. All the best mkuu.
 
nashukuru , uwezo wa kununua cm nzuri ninao bali ciwezi kutembea na Iphon mfukoni wakati sina hata kochi la kukalia wageni wangu pia sio kwamba natafuta zali eti mtu anitoe hapana am responsible prsn. I need sm1 2gather we can make things hapen. then kutokana na watu wanao nizunguka +friends ni kwamba am 23 but am leaving like a man of 5o`s.
 
Picha si issue kwani maisha siyo sura lakini waweza weka picha zaidi ya moja kuelezea maisha yako..sio unatuwekea picha ya mmarekani sharobaro wa kijiweni uwanja wa fisi..Manzese..
Wana janvi hizi ni picha zangu zikionyesha stages tofauti , kwanzia udogoni li akina dada muweze kuona mtoto atakaye tokana na mimi anaweza fananaje. pia nime ambatanisha na vyeti mbali mbali vya vuo ambavyo nimesha pitia. kuna picha nime zi sahau ila nita zi upload kesho morning.

1. mwaka 1996 2. mwaka 1998 nikiwa stdn 2 3. mwaka 2005 nikiwa form 2 4. chet cha basic technitian nilichopokea 2009. 5. ni matokeo yangu ya form 4 in 2007. 6. nilikuwa awarded certificate honor in debate nilipo maliza form 4. 7 . kuna chuo cha computer nilisoma pindi niko form 3 mwaka 2006. 8 .nilihudhulia semina iliyo husu watoto wenye mtindio wa ubongo. 9. curently
 
Attachments

  • 1996.jpg
    1996.jpg
    114.3 KB · Views: 54
  • 1998.jpg
    1998.jpg
    106.5 KB · Views: 46
  • 2004.jpg
    2004.jpg
    93.7 KB · Views: 47
  • scan0009.jpg
    scan0009.jpg
    358 KB · Views: 55
  • scan0010.jpg
    scan0010.jpg
    192.4 KB · Views: 52
  • 2007.jpg
    2007.jpg
    343.1 KB · Views: 44
  • 2005 (2).jpg
    2005 (2).jpg
    483.6 KB · Views: 43
  • 2005.jpg
    2005.jpg
    752.7 KB · Views: 42
  • 155342_463721740381_554175381_5812585_3975106_n.jpg
    155342_463721740381_554175381_5812585_3975106_n.jpg
    50.6 KB · Views: 54
Sio Lazima u husike moja kwa moja bali naomba , hata kama u have a friend , relative or seabring u think she can be intrested on this just let her know about it coz u never know.THANK YOU JAMII FORUMS KWA KUNIWEZESHA KUSIKIKA. nawatakia usiku mwema poleni na Mgao wa umeme.
 
Wow.....B.O.G you are a man like no other here in JF.Hujakata tamaa na umeenda the extra mile kuonyesha kwamba uko serious..HONGERA kwa hilo.

Alafu kusema ukweli wewe mdogo alikua mzuri kwahiyo hapo ukipata kadada karembo vitoto vitatoka viHANDSOME na viBEAUTY vya ukweli.
Nwy nakuomba na nnatumaini utapata hitaji lako la moyo baada ya jitihada zote hizi...kila la kheri.
 
1st Shemeji mwambie dada ...

Looks like somo limepanda na uko very determined. All the best buddy!

Just for the record.. niliposema dada zangu nili-mean wa hapa JF kwani huko nyumbani kuko full booked!
 
Wana janvi hizi ni picha zangu zikionyesha stages tofauti , kwanzia udogoni li akina dada muweze kuona mtoto atakaye tokana na mimi anaweza fananaje. pia nime ambatanisha na vyeti mbali mbali vya vuo ambavyo nimesha pitia. kuna picha nime zi sahau ila nita zi upload kesho morning.1. mwaka 1996 2. mwaka 1998 nikiwa stdn 2 3. mwaka 2005 nikiwa form 2 4. chet cha basic technitian nilichopokea 2009. 5. ni matokeo yangu ya form 4 in 2007. 6. nilikuwa awarded certificate honor in debate nilipo maliza form 4. 7 . kuna chuo cha computer nilisoma pindi niko form 3 mwaka 2006. 8 .nilihudhulia semina iliyo husu watoto wenye mtindio wa ubongo. 9. curently
hongera dogo kwa kujianika kiasi hiki hii inaonyesha kuwa hujajua maana ya forums ..forums sio facebook.
 
1st Shemeji mwambie dada kwamba mie sio jounalist au mwandishi wa magazeti ya majira na wala sijawahi kushiriki kwenye mashindano ya uandishi. 2nd mwambie hata nikiandika kwa peni mwandiko utafikiri bata kapita 3rd mwabie dada sipendi mapenzi ya karatasi (barua) wala ya simu (sms) maana ni ya uongo. 4rh mwambie dada kuwa nime yakata kata maandishi sababu watu wana kazi nyingi za kufanya hawawezi soma habari yangu 2 all the day. 5th Dada kasema mie ni shalobaro ( mtu aneye bring bring au kujipenda ,kutokana na nilivyo ambiawa na jirani yangu) , mwabie hapo kapata 10% sababu toka nizaliwe sijawahi vaa kata K , Nina pea moja ya kiatu safari boot ingawa sasa imechoka na sandols za ngozi , simu ninayotumia ni Nokia 1202 ambayo nimeiwekea betry sa simu yangu ya sasatel ambayo nimeifunga kwa kamba ya kiatu, Ukinipigia hata niwe na nani nitaitoa na kupokea sababu I DO`NT CARE. 6th Nikweli sina nyuma , ila mbele ninapo maana mshahara wangu wa mwezi unazidi kima cha chini. WABEJA MWANA WANI!!!
hapo umenifurahisha mkuu...kuna dada yangu yupo pale corner bar ntakupatia
 
Back
Top Bottom