Sijamuelewa kabisa huyu...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
mxcpgirls-not-sexy-6.jpg
Mwenye uelewa anafanya nini huyu?!
 
Huyo ni BLONDE (mwenye nywele nyeupe)...Kwa wenzetu wazungu wengi wa hawa madada wenye nywele za rangi hizi hujulikana kwa UZURI WAO WA SURA NA UPUMBAVU WAO WA AKILI......
 
Wote mmekosea. Huyo mtoto analamba vumbi kwenye tairi. Nadhani keshapigwa na kufungwa bao tayari. Si unajua ikiishaingia ile kitu na kung'ang'ania!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom