Sijampata wa kunimalizia hamu ya ngono

Tatizo lako dogo unataka ufikishwe wakati mademu wenyewe unapata wakuvizia,ambao bao moja tu wanataka kuwahi kurudi kwao_Oa ndio utafikishwa kileleni.
 
we nawe umalaya tu unakusumbua, angalia we unamiaka 27 tu unaendekeza ngono namna hii? utafika miaka 40 kweli? Ukimwi utakumaliza mapema ndugu yangu. kaa fikiria tena upya jinsi ya kujenga maisha yako sio kufikiria ngono. By the way kama umedhamiria hilo watafute malaya wanaojiuza watakumalizia hamu na virobotu juu

:A S shade::A S shade: jamani humu ndani mnanivunjaga mbavu sana
 
Halafu mtu anajua kabisa alichokianzisha ni utumbo mtupu then anaingia mitini...
 
Kula mkono chali wangu, Yaani usiku kucha mpaka asubuhi uje uniambie kama una hamu tena.
 
Mbona umeitupa JF Doctor! sikuhizi jukwaa linashuka thamani kwa thread za kipumbavu kama hizi... peleka huu upuuzi jukwaa la mwisho kule...
 
Pole but ongea na mpenz wako na umwambie ukwel yy ndio wakukusaidia. Kuwa muwazi kwake.
 
Jamani kwa mtindo huu hawezi kusaidika, vigongo vimezidi hata hapumui anapewa kigongo kingine dah! sio uungwana WanaJF. kwanza si mnaona umri wake na isitoshe anaonekana anahitaji ushauri wa kitaalam la sivyo ukimwi utammaliza.
Sasa kama bado upo mimi nakushauri jitahidi kuhudhuria ibada usikose hata kipindi kimoja na fanya sala sana. Utaona matokeo ndani ya wiki kama mbili tu. utakuwa umepona kabisa na tayari Baba wa familia mtarajiwa. Nafikiri umenielewa tena usiogope unapokwenda ibadani shika kitabu cha Mungu hadharani kijana. Utaniambia matokeo
 
Hello GREAT THINKERS mi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 na sijao ,nina tatizo moja kwani kila msichana au mpenzi nilie naye anifikishi kileleni,kwani nikimpiga moja tu yuko hoi,nifanyeje kwani tangu niwe na mpenzi sijampata wa kunikata kiu ya mapenzi,kwani nitajisikia raha sana nikimpata wa kumpiga kama bao 4 hivi,nisaidieni jamaani


We si mvulana ni mwanaume.
 
Kwahiyo unataka mwanaume wa kukuridhisha wewe inaonekana wanawake unawachezea ngoja dawa yako itapatikana kwani mshahara wa uzizi ni mauti
 
Back
Top Bottom