Sijampata wa kunimalizia hamu ya ngono

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
Hello GREAT THINKERS mi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 na sijao ,nina tatizo moja kwani kila msichana au mpenzi nilie naye anifikishi kileleni,kwani nikimpiga moja tu yuko hoi,nifanyeje kwani tangu niwe na mpenzi sijampata wa kunikata kiu ya mapenzi,kwani nitajisikia raha sana nikimpata wa kumpiga kama bao 4 hivi,nisaidieni jamaani
 
we nawe umalaya tu unakusumbua, angalia we unamiaka 27 tu unaendekeza ngono namna hii? utafika miaka 40 kweli? Ukimwi utakumaliza mapema ndugu yangu. kaa fikiria tena upya jinsi ya kujenga maisha yako sio kufikiria ngono. By the way kama umedhamiria hilo watafute malaya wanaojiuza watakumalizia hamu na virobotu juu
 
Unafikiri wanawake wa JF watakupenda kwa hizo sifa za kijinga?
sioni kama ilikuwa issue ya kuanzisha uzi, si katafute wa kumaliza haja yako, kwani hao uliowahi kuwa nao rulikutafutia sisi.
Heshimu ili jukwaa wengine linatusaidia tofauti na unavyofikiria.

mods haikupaswa kuwa thread; naomba muifutie mbali
 
Hello GREAT THINKERS mi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 na sijao ,nina tatizo moja kwani kila msichana au mpenzi nilie naye anifikishi kileleni,kwani nikimpiga moja tu yuko hoi,nifanyeje kwani tangu niwe na mpenzi sijampata wa kunikata kiu ya mapenzi,kwani nitajisikia raha sana nikimpata wa kumpiga kama bao 4 hivi,nisaidieni jamaani

Unatia kichefuchefu nenda kafanyiwe maombezi unapepo wa ngono umri huo ulitakiwa kuwaza jinsi ya kujenga familia yako ijayo na sio ngono we sio mtoto wa shule na hutakaa umpate wa kukumalizia hiyo hamu kwanza umeondoa heshhma ya jukwaa hili.ni sehemu ya watu kupata msaada wa kiafya na sio kukidhi tamaa zako za mwili nenda ukatafute website za ngono natumai huko utangoneka hadi hamu ikuishe
 
Tatizo umezoea kuwalala mchana wa jua kali, na wao wakiwa spidi ili kuwah ratiba ya geti kufungwa. nakushauri uoe ili usipate adha hii.
 
Tatizo umezoea kuwalala mchana wa jua kali, na wao wakiwa spidi ili kuwah ratiba ya geti kufungwa. nakushauri uoe ili usipate adha hii.

aoe?amuoe nan? Labda ao ao majini wenzie! Ivi nyie hamjagundua ili jin? Mwanaume kamili, even mvulana hawez kutangaza huu ukimwi iv
 
kweli wewe inaoneka mawazo yako ni ngono tu jaribu kufikiria hata maisha yako yatakuwaje itakusaidia sana
 
hello great thinkers mi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 na sijao ,nina tatizo moja kwani kila msichana au mpenzi nilie naye anifikishi kileleni,kwani nikimpiga moja tu yuko hoi,nifanyeje kwani tangu niwe na mpenzi sijampata wa kunikata kiu ya mapenzi,kwani nitajisikia raha sana nikimpata wa kumpiga kama bao 4 hivi,nisaidieni jamaani

tatizo lako wewe ni mvulana sio mwanaume subili uwe mwanaume kama mimi utafika kileleni tu na washangiliaji utawaona ukifunga bao.
 
Hello GREAT THINKERS mi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 na sijao ,nina tatizo moja kwani kila msichana au mpenzi nilie naye anifikishi kileleni,kwani nikimpiga moja tu yuko hoi,nifanyeje kwani tangu niwe na mpenzi sijampata wa kunikata kiu ya mapenzi,kwani nitajisikia raha sana nikimpata wa kumpiga kama bao 4 hivi,nisaidieni jamaani

Pole sana,mtafute shigongo akupe forum kwenye gazeti la uwazi au amani uwe mtunzi wa hadithi za kusadikika.

Pole sana "aliwazalo mjinga ndio litalomtokea" inaonyesha wewe ni goli moja hoi.
 
Inabidi uanze kupigwa wewe, utafika kileleni, sidhani kama kuna mwanamke mwenye sifa ya kumfikisha mwanamme kileleni. Unachohitaji ni mwanamme akufikishe kileleni.
 
Tatizo ni wewe huwezi kuwafanya watake tena na tena ...may be your are not doing it right

Communicate na mwezi wako ujue tatizo

Next time tumiana tafsida kadiri iwezekanavyo....kupunguza ukali wa maneno
 
Kanunue mche mmoja wa sabuni jamaa,piga puchu hadi huo mche wa sabuni uishe,jitahidi ufikishe hadi bao nane nadhani utakua umefika kileleni,kama itakua bado mkuu zunguka ukapakuliwe nyuma na mzee kipara.
 
Kanunue malaya wa5 then kila mmoja unampga bao 1. Usipotosheka na hapo utakuwa na tatzo moja liitwalo back enema ambapo tiba yake wewe ndio utakuwa unahtaji mwanaume wa kukuingilia kinyume na maumbile kwa dozi ya kila baada ya siku 2 ndani ya wiki mbili.
 
mkuu mwenye jukumu la kumfikisha kilele mwenzi au mwenzake nadhani ni mwanaume hii ni "fact" ya kibailojia kwani mwanaume ana muda mfupi wa kufikia "orgasm"...sasa nashangaa unaposema hufikishwi kilele na huku wewe ni mwananume.

sasa kama unaweza tafuta tu dada poa, maana wale nadhani huduma yao malipo huwa kwa kila bao, ukishindwa huko basi ujue "nyavu zako haziwezi kucheua"....
 
Hello GREAT THINKERS mi ni mvulana mwenye umri wa miaka 27 na sijao ,nina tatizo moja kwani kila msichana au mpenzi nilie naye anifikishi kileleni,kwani nikimpiga moja tu yuko hoi,nifanyeje kwani tangu niwe na mpenzi sijampata wa kunikata kiu ya mapenzi,kwani nitajisikia raha sana nikimpata wa kumpiga kama bao 4 hivi,nisaidieni jamaani

Sasa sisi tukusaidie nini?au unataka tukusaidie kukutafutia dem?nenda kona bar pale utawapata wenye masufuria.
 
Back
Top Bottom