Sijalielewa jibu lake!!!

Teh teh teh, Nimeipenda hiyo staili yenu!

Kaa naye chini mkeo na umuulize vizuri imekuwaje leo yeye kwenda kunyolewa huko! Hapo utajua ukweli na uongo wa mkeo.
Usianze tu kuhisi vibaya, kuna wengine hawapendi kuwa na nywele wakikaribia kwenye siku zao za hedhi hivyo akaamua awahi kuziondoa mapemaa.

But big up guys, its a new lesson to me.
 
jamani msimuhukumu huyo dada,zipo saluni ambazo wananyoa,kunakuwa kusafi kabisa.kama angetaka kumdanganya angemdanyanya kuwa nimejinyoa mwenyewe,yakaisha,ila duu inataka moyo,mtu ambae sio mpenzi wako,akunyoe.mfahamishe kama hujapenda
 
Una maana gani unaposema kunyolewa? Ni huku kunyoa kwa kukata vinyweleo vya mwilini kwa kutumia wembe au ni lugha ya mafumbo ukimaanisha kitu kingine?
 
zipo saluni wananyoa.
Ila mkeo naye kwenda kuchunguliwa huko chini ndo nini?
Au alitaka kunyoa kiduku, kipara kimemchosha?
Mwambie asirudie tena,
 
Hebu msihukumu Kama mambo hamyajui. Kuna kitu kinaitwa wax kwa kiingereza au halawa kwa Kiswahili/ Kiarabu ambacho hufanana na asali au shira nzito ambayo hutumika kutoa nywele mwilini.

Ngozi inakuwa smooth kwa utoaji huo na huchelewa kuota lkn ina maumivu.

Kuna njia nyengine ya kutolewa kwa laser pia japo nadhani hiyo Bongo kwenye saluni zetu haijafika
 
Hebu msihukumu Kama mambo hamyajui. Kuna kitu kinaitwa wax kwa kiingereza au halawa kwa Kiswahili/ Kiarabu ambacho hufanana na asali au shira nzito ambayo hutumika kutoa nywele mwilini. Ngozi inakuwa smooth kwa utoaji huo na huchelewa kuota lkn ina maumivu.

Kuna njia nyengine ya kutolewa kwa laser pia japo nadhani hiyo Bongo kwenye saluni zetu haijafika


Ipo... Kariakoo eneo ambalo huwezi dhania.... kwa mama wa Kiarabu (Saloon yake underground saana ina speacial customers tu)... thou ina watu wake hatoi hio huduma kwa woote.... most wanapewa hio huduma ya waxing...
 
.hivi na wewe unakubali saluni?ukimbana sana hapo ataanza kulia unamfwata fwata,lol!ndoa bana...!!!
 
Kujinyoa mwenyewe tu unaweza kujikata..

Sasa kunyolewa na mwingine je?
 
Kujinyoa mwenyewe tu unaweza kujikata..

Sasa kunyolewa na mwingine je?

Waxing si kunyolewa ni kunyofolewa-lol

Yaani inabandikwa rojo la mchanganyiko wa sukari/ asali na ndimu/limau uliopikwa. Kisha juu yake kunawekwa kitambaa kinajishika na rojo na nywele kisha kinavutwa.

Kikitoka kitambaa kinakuwa na nywele, ngozi inakuwa safiiii, nyororoo

Kwa waliozowea wanatengeneza wenyewe majumbani mwao lkn saloon hususan mitaa ya kariakoo na upanga zenye huduma hizo zimejaa
 
He haya mengine tena mumezidi jamani, mpaka vya uvunguni vinakuja hadharani.

Sasa hapa kuna ushauri gani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom