Sijakuelewa Zitto Kabwe, yale madini etc hujaona kama yatasaidia umeturudia sisi

kibai

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
202
52
In have just seen post ya zitto kwenye FB anapendekeza kuongezeka kodi kwa watumishi, an easy pray siku zote. Sikutegemea, mimi nilidhani CDM mko ki ukombozi zaidi sasa mnataka tena kuleta hoja dhaifu kama wenzenu. Thinking of PAYE kila siku badala ya kufumua ma mikataba ya madini, na ma misamaha ya kodi kila wakati, hebu tuombe radhi kaka, think of namna watu wanavyokwepa kodi, maduka yote karibu watu hawalipi kodi, everywhere in TZ but always mnafikiria PAYE, is it the begining of a failing strategy? nahisi amepitiwa tu.
 
Nina uhakika, wafanyabiashara wengi wa maduka madogomadogo na vi-grocery huwa hawalipi kodi ya mapato na vyanzo mbadala alivyozungumzia mwaka jana ndiyo PAYE ya wafanyakazi?
 
Back
Top Bottom