Sijafungwa Kifungo cha Maisha

kiraia

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
1,716
999
Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi” Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza?
“Sawa Honey ni jambo rahisi sana” akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za siri tuziite GEREZANI na zangu tuziite MFUNGWA.
Tutakachofanya sasa ni kumuingiza MFUNGWA GEREZANI... bi harusi akajikuta anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza.

Baada ya shughuli hiyo nzito Bwanaharusi akalala chali huku akitabasamu kwa ridhiko alopata. Mara akamsikia bi harusi akimtonya; “honey naona MFUNGWA katoroka GEREZANI” Bwanaharusi akamgeukia bibi harusi wake kwa tabasamu na kusema "Itabidi tumrudishe tena GEREZANI!" Baada ya round ya pili jamaa akataka kuamka ili avute sigara yake wakati bi harusi aki-enjoy experience yake mpya katika mapenzi. Kabla hajatoa mguu wa pili kitandani Bi harusi akamgusa mumewe huku akitabasamu na kusema “Honey MFUNGWA ametoroka tena” jamaa ikabidi akubali kumrudisha Mfungwa Gerezani.
Mchezo ukawa hivyo hivyo mfungwa akitoroka anarudishwa Gerezani hadi jamaa akawa hoi bin tabaani, jamaa akawa amechoka hadi miguu ikakosa nguvu! Kila akifikiria sasa atapumzika mara anasikia sauti "Honey MFUNGWA katoroka tena"
Mwishowe jamaa akashindwa kuvumilia akamjibu kwa ukali "Alaaaaa! huyu MFUNGWA hajafungwa kifungo cha maisha ati!!!!!!!!!!!!"

I'm tired of this I've read it about 4X on different threads be creative!
 
Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi" Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza?
"Sawa Honey ni jambo rahisi sana" akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za siri tuziite GEREZANI na zangu tuziite MFUNGWA.
Tutakachofanya sasa ni kumuingiza MFUNGWA GEREZANI... bi harusi akajikuta anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza.

Baada ya shughuli hiyo nzito Bwanaharusi akalala chali huku akitabasamu kwa ridhiko alopata. Mara akamsikia bi harusi akimtonya; "honey naona MFUNGWA katoroka GEREZANI" Bwanaharusi akamgeukia bibi harusi wake kwa tabasamu na kusema "Itabidi tumrudishe tena GEREZANI!" Baada ya round ya pili jamaa akataka kuamka ili avute sigara yake wakati bi harusi aki-enjoy experience yake mpya katika mapenzi. Kabla hajatoa mguu wa pili kitandani Bi harusi akamgusa mumewe huku akitabasamu na kusema "Honey MFUNGWA ametoroka tena" jamaa ikabidi akubali kumrudisha Mfungwa Gerezani.
Mchezo ukawa hivyo hivyo mfungwa akitoroka anarudishwa Gerezani hadi jamaa akawa hoi bin tabaani, jamaa akawa amechoka hadi miguu ikakosa nguvu! Kila akifikiria sasa atapumzika mara anasikia sauti "Honey MFUNGWA katoroka tena"
Mwishowe jamaa akashindwa kuvumilia akamjibu kwa ukali "Alaaaaa! huyu MFUNGWA hajafungwa kifungo cha maisha ati!!!!!!!!!!!!"

Mkuu Kiraia unatisha, hii imetulia. Huyo askari magereza ni noma anakaba hadi tuta
Umeongeza siku zangu za kuishi
 
Back
Top Bottom