sijafanya nae MAPENZI...lakini mazingira yanashitaki!!

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
ni mtoto pekee wakiume katika familia yangu...dada zangu wameolewa...
juzi kati bimkubwa ameugua na akaenda kukaa kwa mmoja wa dada zangu,..
nimebaki mm na housegirl tuuuu niko karibu nae saaana!!!ila CJAGUSA...sasa ni mwezi wa nne!!
ndugu, jamaa, na marafiki wanasema ni lazima nitakua na mahusiano ya kimapenzi na dada wa ndani
so imekaaje hapo?nimalizie tu ili isemeke vizuri?na bimkubwa anataka kumfukuza kazi!!!
(ofcoz nilikua na mpango mkakati!!lols)
 
mazoezi ya asubuhi kabla ya mpambano ni mazuri kwa afya.
Unasubiri nini???
F.a.l.a nini wewe?
 
preta hata wewe unamuona b.w.e.g.e! navuta picha km we ungekuwa ndio huyo housegirl! picha tu!
 
Sasa mkuu hapa umeileta tukusifie kuwa unajua kuendeleza ugumu au unataka tukushauri kuwa endelea na mpango wako au unataka tusemeje
Maana imekaa kama unatupa habari kuwa hujamfanyia lolote dada wa watu
Anakuona wa ajabu miezi minne mnaangaliana kama kaka na dada
Hata hivyo umejitahidi sana
Endelea na hiyo hali msije mkaharibiana maisha (as per Kongosho)
 
ni mtoto pekee wakiume katika familia yangu...dada zangu wameolewa...
juzi kati bimkubwa ameugua na akaenda kukaa kwa mmoja wa dada zangu,..
nimebaki mm na housegirl tuuuu niko karibu nae saaana!!!ila CJAGUSA...sasa ni mwezi wa nne!!
ndugu, jamaa, na marafiki wanasema ni lazima nitakua na mahusiano ya kimapenzi na dada wa ndani
so imekaaje hapo?nimalizie tu ili isemeke vizuri?na bimkubwa anataka kumfukuza kazi!!!
(ofcoz nilikua na mpango mkakati!!lols)

Hause Girl Mwenyewe analipa au kwa kuwa tu akikojoa anachuchumaa?
 
kuna sababu gani ya kumuwazia dada wa ndani huoni kama unajishushia heshima .. jaribu kupunguza tamaa za mwili , na kwa nii usiwazie mtu ambaye hayoko kwako ???
 
NGONO'RIENTED wewee, umalize kweli ki2 gani.. Ukimpa mimba pia uje kusema kama unavyojinadi sasa.. Na itakuwa mtoto pekee wa kiume aliezaa na beki3... OGOPA gharama eeenh
 
Sasa walivyoondoka wakakuacha wewe na housegirl hawakujua kwamba wanakuweka mazingira hatarishi?

Dogo tatizo huna demu inaonesha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom