Sijafa lakini nakiona cha moto....

dinarisaba70

New Member
May 20, 2010
1
0
Nina wangu wa ubani kwa miaka lakini naungama kuwa yupo mjomba ananizidi kete. Kukaa nae nataka........., kuachia ngazi nataka........ Vipi wadau?
 
jaribu kuwa muwazi andika kitu kinachoeleweka wewe ni nani uhuasiano mlianza lini nk, sio unaweka mistari utadhani fumbo au beti za taarabu
 
anaongea kwa mafumbo (parables), angeweka wazi nini hali halisi ili watu wajue kinachoendelea, kama yeye ni mwanaume sasa mke wake anaibiwa na mjomba mmoja mtaani, au kama yeye ni mwanamke sasa mme wake ana matatizo fulani hata sijui anataka kusema nini.
 
eleza vizuri sio unaandika kama mistari ya taarabu eleza kwa kirefu usahidiwe mawazo alaaaaaaaaaaaaa:angry:
 
Nina wangu wa ubani kwa miaka lakini naungama kuwa yupo mjomba ananizidi kete. Kukaa nae nataka........., kuachia ngazi nataka........ Vipi wadau?

Kwa maelezo yako mzani umelingana (ume-balance), basi kaa hapo hapo! Vinginevyo angalia upande upi umeelewa na uufate huo huo tu. Kama wewe huuoni basi hata sisi hatuwezi kuona kitu!
 
Doo Kazi kweli kweli !


Miaka kumi; hebu leta tuuchunguze huo moyo wako inawezeka ulishajifia siku nyingi! Fafanua mko kwenye ndoa ama?
 
dinarisaba70
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-offline.png

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Thu May 2010
Location United Kingdom
Posts 1
Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
Nina wangu wa ubani kwa miaka lakini naungama kuwa yupo mjomba ananizidi kete. Kukaa nae nataka........., kuachia ngazi nataka........ Vipi wadau?

jamani huyu anahitaji "orientation week"...ili aweze kuizoea jamii forum...maana naona kadondokea hapa jf mbaya zaidi kaingia chumbani badala hata ya kuanzia sebuleni aizoee nyumba...muelewesheni jinsi ya kuleta mada jamvini ili aweza kujibiwa....nashauri "manguli na vingunge" wa jukwaa la mapenzi wamuibukie pm kwake wampeleke jando na kumcheza unyago kisha alete tena hoja yake asaidiwe ipasavyo....pole sana dinari saba na vibande thelasini vya pesa kama iliyotumika kumsaliti bwana wetu yesu akak issa ibn mariam.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom