Siipendi tabia hii

hata baadhi ya wadada wanayo sana... na sipendi wanaovuta sigara kwenye public areas kama kwenye mikusanyiko ya watu wengi ama kwenye daladala ilhali kwa wengine ni keeeeeero!!

Sasa usiombe huyo mvutaji awe mpenzi wako, alafu anakuomba dend... utakimbia,
 
Yap ! Tuongee ukweli utamu wa ile kitu baba angu inakufanya mwenyewe upereke hata kama ni mchaga.
 
tabia ya wanaume kuwa wanawaza mademu wa wenzao 2 n viceversa z true. ova
 
Haswaa kwa wanaume, ukimwambia niko kwa shoga yangu anakwambia nipe niongee nae, ukimwambia niko nyumbani peke yangu anakwambia washa tv, zima washa tena, weka tbc, haya hamishia clouds........ mambo gani haya

Yaani Rosweeter umenichekesha, hii kali lol!!!!
 
hata baadhi ya wadada wanayo sana... na sipendi wanaovuta sigara kwenye public areas kama kwenye mikusanyiko ya watu wengi ama kwenye daladala ilhali kwa wengine ni keeeeeero!!

Tabia ya mpenzi wako kukuomba pesa kwa ajili ya matumizi madogomadogo wakati hata yeye anapesa tena wakati mwingine nyingi kuzidi nilizonazo
 
sana sana kwa kina dada kubip mara kwa mara wakati wanalipia caller tunes, inakera hii
 
Wanawake ambao hawajui kuchezea makende vizuri mkiwa 6 kwa 6, yanauma yale jamani, mtatuua siku ohoooo
 
Ha ha haaaaaaaaa........... Pole mkaka, wafundishe jinsi ya kushughulika nayo
 
Haswaa kwa wanaume, ukimwambia niko kwa shoga yangu anakwambia nipe niongee nae, ukimwambia niko nyumbani peke yangu anakwambia washa tv, zima washa tena, weka tbc, haya hamishia clouds........ mambo gani haya

Ukimwambia niko nadrive utasikia piga honi mara paki pembeni zima gari kisha washa tena!!!!!!!!!!!!!
 
Mi niko tofauti

When ever I buy some airtime lazma nimrushie mywife wangu half of it. Kama ni 5000, then namtumia 2500
Am proud of her, and i always think its my responsibility to take care of her.

I think all men should do the same; pay the bills, buy airtime, take her to salon ... otherwise utasaidiwa
Women hawapendi kutumia hela zao hata kama ni gari yake umemnunulia lazima aombe umuwekee mafuta. Thats how they are.
 
tabia ya mawifi kuwakaba kaka zao mpaka mke wake anashindwa kuweka lace wig lol
 
...usipomridhisha kitandani baada ya hayo yote!?
 
Back
Top Bottom