Siipendi hii...

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Tsup great thinkers. J3 ndio inayoyoma hivo, kama huja"make" mpaka mida hii kaza buti mwanawane.
Naomba niwaulize swali la "kizushi".. Hivi ni nani yupo responsible kumpa mtoto jina pindi anapozaliwa. Manake huwa nakereka pale mtu anapompa mtoto jina la Xbf or Xgf. What is that for? Si ungeolewa nae au ungemwoa kama ulimpenda yeye zaidi?
Aaahgh..
 
Hii inatokea mara kwa mara kwa watu wengi au imetokea by chance kwa mtu mmoja au wawili?
 
kutoa jina ni kazi ya baba na mama, kwanza mnapokubaliana lazima ujue maana ya jina, pia ujue jina ni la nani kwenye ukooo na ana tabia zipi....

Swali: ina maana hujui jina la ex wa mwenza wako mpaka anampa mtoto jina la ex???
 
These days watu wana "google" baby names and meaning then wanawapa watoto...!
Au wanaangalia in Quran and Bible! Majina yanaweza kufanana na huyo "x" by coincidence.
 
.
Mkuu BT si rahisi kuwafamu maX wote, wengine wameshakuwa na wapenzi 20+
 
sio mchezo inaonekana ndio zenu enhee kwa kawaida mtoto huitwa jina la baba au mama mzazi wa either mke au mme.. hayo mambo ya maX tena sijui..
 
Eeh sasa majina ya mtoto na kuolewa au kuoana yana connection gani? Si unakuwa umelipenda tu hilo jina?
 
Watoto na wajukuu wote ni majina ya Xs tu, raha hasa unapokuwa na foleni unakuwa na wigo mpana wa kuchagua.
 
Eeh sasa majina ya mtoto na kuolewa au kuoana yana connection gani? Si unakuwa umelipenda tu hilo jina?
.
Eti eeh!
Kuna jamaa mke wake alimpa mtoto jina la Xbf wake. Kumbe it was just a trick. This waif alikua anampenda zaidi huyo Xbf. Mara nyingne alikua anaropoka jina la Xbf wake akiwa kwenye ndoto (zile ndoto ambazo mtu hujikuta akiongea). Lo!. Mume alipouliza mbona unataja sana jina "flan", she just respond.. Unajua our son ni mtundu sana!
 
These days watu wana "google" baby names and meaning then wanawapa watoto...!
Au wanaangalia in Quran and Bible! Majina yanaweza kufanana na huyo "x" by coincidence.

Umenena sio kukazana kuwapa watoto majina mazito ya bibi au babu yake au mjomba jiran x unakuta alikuwa na tabia mbofu mbofu mtoto unamuita kaburi,
shida,
matatizo,
mateso,
mwinyi,
mrisho
kisa lilikuwa la ndugu yako hvyo unamuenzi, watoto wanakuja kuwa wa ajab unaanza kulalamika.
 
Back
Top Bottom