Sihusiki na barua ya wazi kwa katibu mkuu dr. Slaa kutoka Chunya

Philipo Mwakibinga

Senior Member
May 13, 2013
111
175
Naanza kwa kusema mimi ndiye Philipo John Mwakibinga, ambaye jina langu limetumiwa vibaya na wanaojifanya ni mabibgwa wa kuchonganisha viongozi na wanachama wao puuzeni uvumi huo mimi WALA MSIHANGAIKE KUJADILI HAWA NIWALE WALE WANAO TAKA KUTUTOA KWENYE MASUALA YA MSINGI ILI TUJADILI UZUSHI.

Naanza kwa kusema mimi ndiye Philipo John Mwakibinga, ambaye jina langu limetumiwa vibaya na wanaojifanya ni mabibgwa wa kuchonganisha viongozi na wanachama wao puuzeni uvumi huo mimi WALA MSIHANGAIKE KUJADILI HAWA NIWALE WALE WANAO TAKA KUTUTOA KWENYE MASUALA YA MSINGI ILI TUJADILI UZUSHI,Naanza kwa kusema mimi ndiye Philipo John Mwakibinga, ambaye jina langu limetumiwa vibaya na wanaojifanya ni mabibgwa wa kuchonganisha viongozi na wanachama wao puuzeni uvumi huo mimi WALA MSIHANGAIKE KUJADILI HAWA NIWALE WALE WANAO TAKA KUTUTOA KWENYE MASUALA YA MSINGI ILI TUJADILI UZUSHI,

Mkuu unaonekana umeandika kwa jazba sana. Bandiko lako liko nusu nusu na halina mpangilio mzuri. Kifupi ni kuwa umekurupuka.

Sasa fanya kitu kimoja. Tuambie hiyo barua inahusu nini, umehusikaje/umehusishwaje, maudhui ya hiyo barua ilikuwa ni nini na wewe unapinga nini, mwisho,kama unawajua waliopanga hizo hila wataje hapa hata kama ni Simiyu Yetu au ZeMarcopolo au hata Ritz makamanda tutawarukia kama mwewe.

Haya tulia lete hoja
 
Last edited by a moderator:
Iweke vizuri basi ueleweke, mbona ni kama wewe ndio umeiba ID ya mtu
 
Naanza kwa kusema mimi ndiye Philipo John Mwakibinga, ambaye jina langu limetumiwa vibaya na wanaojifanya ni mabibgwa wa kuchonganisha viongozi na wanachama wao puuzeni uvumi huo mimi WALA MSIHANGAIKE KUJADILI HAWA NIWALE WALE WANAO TAKA KUTUTOA KWENYE MASUALA YA MSINGI ILI TUJADILI UZUSHI,Naanza kwa kusema mimi ndiye Philipo John Mwakibinga, ambaye jina langu limetumiwa vibaya na wanaojifanya ni mabibgwa wa kuchonganisha viongozi na wanachama wao puuzeni uvumi huo mimi WALA MSIHANGAIKE KUJADILI HAWA NIWALE WALE WANAO TAKA KUTUTOA KWENYE MASUALA YA MSINGI ILI TUJADILI UZUSHI,
Nyimbo kama aliyoimba Ridhiwani, hivi nyie jamaa mtabadilika lini na kuacha kuwa copycat?
 
Usiwe na hofu, wakati barua iko hapa jukwaani Slaa hakuwa online bali ID yake ilikuwa inatumiwa na mwenzake
mimi ingekuwa wewe ningewasiliana na familia ya mwangosi nirudishe pesa zao kuliko kuangaika na slaa toa banzi lililokuwa jicho kwako kabla ya kuangalia ya wengine
 
Wewe ni philip Mwakibinga mimi ni Philip Japhet Mwakibinga. Nilifukuzwa chuo kwa bangi najiandaa keenda Chunya mwezi Dec, Kujijenga kisiasa kuwaamhia wananchi wapuuze maneno yote mabaya dhidi yangu.
 
Naanza kwa kusema mimi ndiye Philipo John Mwakibinga, ambaye jina langu limetumiwa vibaya na wanaojifanya ni mabibgwa wa kuchonganisha viongozi na wanachama wao puuzeni uvumi huo mimi WALA MSIHANGAIKE KUJADILI HAWA NIWALE WALE WANAO TAKA KUTUTOA KWENYE MASUALA YA MSINGI ILI TUJADILI UZUSHI,Naanza kwa kusema mimi ndiye Philipo John Mwakibinga, ambaye jina langu limetumiwa vibaya na wanaojifanya ni mabibgwa wa kuchonganisha viongozi na wanachama wao puuzeni uvumi huo mimi WALA MSIHANGAIKE KUJADILI HAWA NIWALE WALE WANAO TAKA KUTUTOA KWENYE MASUALA YA MSINGI ILI TUJADILI UZUSHI,
acha uoga, kwani Dr kakustukia? dr mwenyewe hana jipya. mwenzake leo kakiona cha mtemakuni maskini babu namwonea huruma. kupora mke wa mtu kunauma. zamu yake sasa
 
Mwakibinga wewe ni jeuri nakufahamu ulikuwa unasoma upepo ulijua watu watakushabikia ulivyo ona kila mtu anakupuuza ndipo ukarudi na account yako nyingine, wewe tunakufahamu hata UDOM ulienda kujitetea na kusema walio sababisha mgomo ni Abubakar Bashe na Likapo ndipo wakaamua kukutupilia mbali na undumila kuwili wako. Acha kujipotezea muda ubunge gani unataka? Au wa open university ya Mbatia? Wenzako tunajenga chama wewe unatangaza nia hicho ndicho kilicho kuponza gombea Rungwe kupitia NLD ya Baba yako Tema Mate. CHADEMA sisi kazi majungu tunatupilia mbali. Chama wajenge wenzio kwa gharama zao wewe utoke DSM unako fundisha tution na kusema eti ntagombea ubunge! Foooolishhhhhhhhh you na Saa nane mbeba sumu. Doctor Slaaaaaa upo sahihi baba
 
hivi huyu Mwakibinga ndo yule dogo aliyegombea uraisi wa kampasi ya social pale udom? Baadae walifukuzwa chuo kwa kuleta fujo au sio huyu?
 
acha uoga, kwani Dr kakustukia? dr mwenyewe hana jipya. mwenzake leo kakiona cha mtemakuni maskini babu namwonea huruma. kupora mke wa mtu kunauma. zamu yake sasa

Hata mukifungua ID mpya masalia munajulikana tu hii melody imechacha mchacho mkubwa huyo aliyeporwa alikuwa kalala usingizi wa pono mpaka wanaume wenziwe wanamfanyizia wivu wa kike mtoto wa kiume kaa unapakatwa
 
hivi huyu Mwakibinga ndo yule dogo aliyegombea uraisi wa kampasi ya social pale udom? Baadae walifukuzwa chuo kwa kuleta fujo au sio huyu?

Revo upo? Ndio huyo huyo yule mvuta bangi, aliyeingizwa madarakani kwa pesa za CCM baadaye wakamgeuka kwa kukosa msimamo alikuwa anayumba yumba mara aende LUMUMBA mara kwa Mulugo, mara kwa Mama Sita, mara kwa Mbstia, mara kwa Silinde mara kwa Lema mara kwa nani yule kada wa CCM wa Udom, hafai hata kwa bure kuwa Mbunge bangi nyingi. Intellejensia ya CDM kali imembaini anatumika na CCM kwa makubaliano yake na Mulugo kuwa atapelekwa masomoni nje ya nchi baada ya kutoroka na form ya ubunge wa jimbo la Lupa 2015 ambako Mulugo nasikia ndio MNEC wa wilaya na mhimiri wa siasa za chunya. Chunya kuna vihana kama Weston Mpyila, Emily Mwangwa, Isambi Mbalawata m Masache Kasaka na Hata Mzee Samson Sunday Sanga mkongwe wa upinzani wilaya ya chunya
 
Ndio huyo huyo mmoja, alikuja hapa kusoma upepo alivyo ona wengi wanapongeza msimamo wa Doctor Slaa ndipo alipo kuja na account nyingine ili kutuzuga kitumbua kimeisha ingia mchanga unadanganywa na wakina shonza? Account zote hizo ni mpya za huyu huyu junk. Slaa you are light always
 
mimi ingekuwa wewe ningewasiliana na familia ya mwangosi nirudishe pesa zao kuliko kuangaika na slaa toa banzi lililokuwa jicho kwako kabla ya kuangalia ya wengine

Enyi Magwanda msio na akili, ni nani aliyewaloga? mara ngapi mmeshaambiwa hapa, kuwa fedha za rambirambi alikabidhiwa KAMANDA wenu MCHUNGAJI MSIGWA? ni jukumu lenu sasa kufuatilia kwa mjane wa Mwangosi kama KAMANDA alizifikisha, maana nyie MAKAMANDA mna tabia!! inawezekana bado hazijafika kwa mlengwa!
 
Back
Top Bottom