sihitaji kuolewa je ni tatizo?

Status
Not open for further replies.
Amejichanganya kweli kweli; mara sihitaji kuolewa; mara nilokuwa nao walikuwa si waoaji; mara kuolewa ni bahati wako wanaojichanganya na hawajaolewa; mara huwezi subiri hizi ndoa uchwara za siku hizi; mara nimeshamwambia boyfriend wangu kama anataka kuoa aoe; mara nimemwambia boyfriend wangu nataka mtoto amekubali; mara hapo nilipo mtoto anacheza tumboni. Sijuhi lipi ni lipi sasa. Kwani huyo current boyfriend wako alikwambia anataka kuoa au kukuoa wewe? Isije kuwa huyu alokupa mimba na kukataa kukuoa ndio amekupelekea kuandika huu uzi unaoonyesha umepoteza matumaini.

Ukichukua maneno ya mwanzo ya post hii ulinganishe na post zako nyingine ktk uzi huu, utagundua kuwa unajichanganya sana! Pole sana dadaangu.
 
Amejichanganya kweli kweli; mara sihitaji kuolewa; mara nilokuwa nao walikuwa si waoaji; mara kuolewa ni bahati wako wanaojichanganya na hawajaolewa; mara huwezi subiri hizi ndoa uchwara za siku hizi; mara nimeshamwambia boyfriend wangu kama anataka kuoa aoe; mara nimemwambia boyfriend wangu nataka mtoto amekubali; mara hapo nilipo mtoto anacheza tumboni. Sijuhi lipi ni lipi sasa. Kwani huyo current boyfriend wako alikwambia anataka kuoa au kukuoa wewe? Isije kuwa huyu alokupa mimba na kukataa kukuoa ndio amekupelekea kuandika huu uzi unaoonyesha umepoteza matumaini.
nyumba kubwa, unakumbuka hadithi ya sungura, sizitaki mbichi hizi? ndio haya sasa............
 
Last edited by a moderator:
Latifaa, bado sijaona sababu haswa ya wewe kuchukua maamuzi hayo, kama umepata mwanaume wa kuzaa nae kwa nini usiolewe. unaweza kufikiri ni jambo jepesi tu kwa kipindi kama hichi ila kuna majukumu makubwa uko mbele. simaanishi kwamba mume ni kila kitu lakini ni bora kuwa wawili kuliko mmoja. Ebu fikiria tena wewe bado mdogo Latifaa.
 
hahahahaaa unanifurahisha, eti latifaa bado we mdogo hivi ukubwa unaanzia miaka mingapi?
Kwahiyo nije kuzaa nikiwa na miaka 40 au?
 
Jaribu kuwa mkweli na nafsi yako jiridhishe ni kweli hutaki ndoa au jamaa kila ukiwapata wanalamba then wanasepa? Jipe moyo wa subira na subira hiyo itakuletea heri tena heri iliyo njema. Kumbuka iman yako ndio itakayo kuvusha kwenye mto huo mbaya wa kutaka kuja kulea watoto bila baba. Kama BABA yako yupo jaribu kufikiria ingekuaje kama asingekuwepo? Je hujawahi ku umis upendo na malezi ya BABA yako. Watendee watoto wako haki na usijijali mwenyewe
 
Amejichanganya kweli kweli; mara sihitaji kuolewa; mara nilokuwa nao walikuwa si waoaji; mara kuolewa ni bahati wako wanaojichanganya na hawajaolewa; mara huwezi subiri hizi ndoa uchwara za siku hizi; mara nimeshamwambia boyfriend wangu kama anataka kuoa aoe; mara nimemwambia boyfriend wangu nataka mtoto amekubali; mara hapo nilipo mtoto anacheza tumboni. Sijuhi lipi ni lipi sasa. Kwani huyo current boyfriend wako alikwambia anataka kuoa au kukuoa wewe? Isije kuwa huyu alokupa mimba na kukataa kukuoa ndio amekupelekea kuandika huu uzi unaoonyesha umepoteza matumaini.
bidada inaelekea umekariri maisha wewe, hivi unatambua maisha hayana formula, walioyapanga maisha hayajawa na walio yakariri hayajawa, kwahiyo kama umekariri kuolewa hayo ni yako bibie.
 
Jaribu kuwa mkweli na nafsi yako jiridhishe ni kweli hutaki ndoa au jamaa kila ukiwapata wanalamba then wanasepa? Jipe moyo wa subira na subira hiyo itakuletea heri tena heri iliyo njema. Kumbuka iman yako ndio itakayo kuvusha kwenye mto huo mbaya wa kutaka kuja kulea watoto bila baba. Kama BABA yako yupo jaribu kufikiria ingekuaje kama asingekuwepo? Je hujawahi ku umis upendo na malezi ya BABA yako. Watendee watoto wako haki na usijijali mwenyewe
hivi mimi ndio wakwanza kuzaa bila kuolewa, au kutokuhitaji hiyo ndoa? Au ñijambo laajabu saana nimelifanya?
Jamani mbona wako wengi sana kama mimi.
 
Guys, msifanye mchezo na hili jambo, ni bora mtu aamue kuwa single mwenyewe toka awali, kuliko kulazimika kuwa single kutokana na wapuuzi fulani waliomtesa, it's painful, Mi binafsi naona bora mtu uwe na just kids na someone unayemfeel angalau hata kama hamjaoana kuliko kuolewa na mtu ambaye humfeel, Mi binafsi siwezi kuolewa na mtu kama simfeel, cause nitakuwa sifurahii hiyo ndoa, jamani Mume au Mke inafaa uwe angalau unamfeel hata kama sio sana cause kuwa na unayemfagilia sana now ni ngumu sana na usipomfeel angalau kidogo si vizuri, utakuwa huna hata huruma naye, si vizuri, atakuwa still anajisikia kama yuko lonely na asiyethaminiwa, tupende wenzetu jamani, wanahitaji upendo, kupendwa na kujaliwa kama sisi, one love!
 
Si kukariri maisha tatizo ni wewe na wenzio mnaopenda kusema hampendi kuolewa; mnatoa maelezo ambayo hayajayooka. Kumbuka hakuna alokutuma ujieleze kwa nini umeamua kuzaa na kwa nini hujaolewa, ni wewe mwenyewe. Sasa maelezo yako kwa mtu anayejua discourse analysis ni rahisi sana kujua msimamo wako; unachoandika si unachoamini. Na ndio maana wengi wamegundua ndoa unaitaka saaana tu ila wakukuoa hajatokea. Na wamelijua hilo kwa maandishi yako mwenyewe.

bidada inaelekea umekariri maisha wewe, hivi unatambua maisha hayana formula, walioyapanga maisha hayajawa na walio yakariri hayajawa, kwahiyo kama umekariri kuolewa hayo ni yako bibie.
 
Thread ipo kama futui nivituko mwanzo mwisho.latifa shauri wadogo zako waolewe fasta wasijepata dhaama kama yako kuwa single parent.
 
Guys, msifanye mchezo na hili jambo, ni bora mtu aamue kuwa single mwenyewe toka awali, kuliko kulazimika kuwa single kutokana na wapuuzi fulani waliomtesa, it's painful, Mi binafsi naona bora mtu uwe na just kids na someone unayemfeel angalau hata kama hamjaoana kuliko kuolewa na mtu ambaye humfeel, Mi binafsi siwezi kuolewa na mtu kama simfeel, cause nitakuwa sifurahii hiyo ndoa, jamani Mume au Mke inafaa uwe angalau unamfeel hata kama sio sana cause kuwa na unayemfagilia sana now ni ngumu sana na usipomfeel angalau kidogo si vizuri, utakuwa huna hata huruma naye, si vizuri, atakuwa still anajisikia kama yuko lonely na asiyethaminiwa, tupende wenzetu jamani, wanahitaji upendo, kupendwa na kujaliwa kama sisi, one love!

unaota nini read bwt the line umeandka madudu doreen22.love u
 
mwanzoni ñilikua natamani kuolewa ili nizae, ila nimekuja jigundua nilichokua nahitaji ni mtoto na sio kuolewa,
najiona mwanamke maana sasahivi nikikaa kwenye jamgi natambulika mimi ni mama na hakuna atakae niuliza umeolewa? Tofauti kubwa ati!

kweli naona umejichanganya tayari umekuwa mama au unasubiri kuitwa mama
 
Guys, msifanye mchezo na hili jambo, ni bora mtu aamue kuwa single mwenyewe toka awali, kuliko kulazimika kuwa single kutokana na wapuuzi fulani waliomtesa, it's painful, Mi binafsi naona bora mtu uwe na just kids na someone unayemfeel angalau hata kama hamjaoana kuliko kuolewa na mtu ambaye humfeel, Mi binafsi siwezi kuolewa na mtu kama simfeel, cause nitakuwa sifurahii hiyo ndoa, jamani Mume au Mke inafaa uwe angalau unamfeel hata kama sio sana cause kuwa na unayemfagilia sana now ni ngumu sana na usipomfeel angalau kidogo si vizuri, utakuwa huna hata huruma naye, si vizuri, atakuwa still anajisikia kama yuko lonely na asiyethaminiwa, tupende wenzetu jamani, wanahitaji upendo, kupendwa na kujaliwa kama sisi, one love!
Thanks Dorren, kula five
 
Wasiohitaji kuolewa hawajishughulishi kuandika hilo hapa, angalia usije kuwa na "sizitaki mbichi hizi" syndrome, unachukia ndoa kwa sababu hujaolewa.

The fact kwamba unakuja hapa kutueleza habari ya kutohitaji kuolewa inatueleza kwamba unahitaji kuolewa.

Mimi sihitaji kuoa, lakini huwezi kunikuta naanzisha thread hapa kusema sihitaji kuoa. Siku nitakayoanzisha thread hiyo ndiyo siku nitakayothibitisha kwamba nahitaji kuoa.
 
hahaahaähaaaa! Yaani raha kweli katika watu walionifurahisha leo kwakweli wewe aah u make my day!
Kumbe hupendi kuoa lakini hutaki kuandika nasiku ukisema tujue ndio unataka kuoa haahaahaaaah nimejikuta naangua bonge la kicheko mpaka nimeamsha majirani kweli jf ? Itatufanya
machizi.
Itabidi nikuote maana tumekutana asiyependa kuoa na asiyependa kuolewa dahai
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom