wehoodie
JF-Expert Member
- Nov 20, 2011
- 1,021
- 992
usifanye maamuzi ukiwa katika hali ya kisirani. Utakuja juta mbeleni, inavyoonekana (psycho) umekata tamaa na sasa unafanya maamuzi ya kukomoa bila kujua unajikomoa mwenyewe...sidhani kama kuna mwanamama anapenda kuwa single parent, hutokea tu bahati mbaya. Pia wafikirie hao watoto, je wewe umelelewa na wazazi wote? Ungependa wanao walelewe na mzazi mmoja? Tafiti zinaonyesha kuwa kukosa malezi ya wazazi wote huleta mapungufu kwenye mahusiano baadae.
Hebu jipange vizuri mbona utampata tu....
Hebu jipange vizuri mbona utampata tu....