kujichanganya sio dawa ya kuolewa, kuolewa ni bahati na mpango wa mungu, wangapi tumewaona ??Mbona miaka 30 bado unalipa sana! Jichanganye dada acha kujifungia ndani na kuomba. Wapo wengi wanahitaji wanawake wa kuoa.
nimelelewa maisha ya dini na
nina mheshimu mungu nina maadili na heshima ila ninachokiamini sio lazima
kila unachoomba upate, dmndio maana maisha yametofautiana matajiri na
maskini sio kwamba maskini hawaombi nao pia wanaomba ila ndio hivyo, sio lazima kila bidada aolewe
Sister maombi muhimu, na pia uamuzi wako wa kuzaa kuwa mwangalifu usizae na mume wa mtu as kusababisha mwanamke mwenzio kupata maumivu,
Although bado mdogo lakini nimegundua kitu kimoja, nature ya shughuli zangu za kusaka ugali zinanikutanisha na watu kibao especially tunaowaita wamefanikiwa kibongo bongo ambao hata mimi natamani kuwa like them, vijana wenye biashara zao na maisha yao ya uhakika hata mtoto kusomeshwa alabama na wengi wao ambao mdada yoyote wa kisasa nina uhakika akatai wito wao unakuta wameoa wanawake wa kawaida sana tena unakuta ni house wife au kafunguliwa miradi na mumewe aisimamie kama vile wadada wasomi na waliolemika hawapo, kuna mmoja alinijibu maisha ni safari ndefu na ili mwanaume afanikiwe lazima kuna mwanamke mwenye heshima na kuthamini nyuma so unakuta wamesota pamoja toka jamaa anahustle au amezinguliwa na wadada wa kisasa akaamua kuweka ndani mdada wa kawaida sana, so ushauri soteni na wanaume wenu maaana wengi wa wamama wanaoendesha morano na maduka kariakoo na miradi mingine ni waliwavumilia wanaume zao kwa mengi, but nyinyi wa kisasa mnataka potential candidate awe amesimama.
Ili asimame pika ugali mzuri ashibe, akirudi mliwaze, kelele na ugomvi wa kijinga jinga epuka kumpa nafasi ya kuwaza kwenye mambo ya msingi mtoke vipi uone kama na wewe ujaja kutamaniwa na wanawake wenzako kwa ndoa yako nzuri
Yani utani pembeni hata mimi nimeona kama ulivyo ona wewe...Hawa ndo wale wakiona wenzao wanaolewa wanaishia kulia kwanini wasiolewe wao, lakini wanajidai hawana shida tena ya kuolewa :biggrin:Mdau anaonekana ana maumivu makali sana moyoni lakini ana act kuwa jeuri.
Ningekuwa na uwezo, huu ujumbe ningeusambaza kwa mabinti wote wanaojifanya wanataka wanaume wenye pesa! Like elfu moja mara mia. Njoo upate bia nguruko aisee.
unaongea tuu wewe! Kuoa au kuolewa sio lazima.Thanx bro, wengi wanataka kuvuna wasichopanda ndo maana wanalalamika daily,
Dada zangu kwa kuongezea mwanaume akishasimama anakuwa amejanjaruka hapo hata akikutongoza hakuoi as hakuamini as anajua umezimkia maisha yake hata kama wewe unampenda kweli yeye ataamini vingine lazima atakukimbia..
Wise woman wanamkamata mwanaume potential mapema kabla hata resi azijachanganya ili akija kusimama na kujanjaruka anakuwa anakuwa tayari ameshaolewa siku nyingi na kama mapacha ameshamzalia mwanaume ataruka vipi unamjua nje ndani.. Hata kwa wakwe na mawifi unakuwa na amani as hakuna la kusema umefata mali wala nini as wewe ulikwepo wakat hazipo na kipindi kile ajajanjaruka ndo unamchanganya na kumkoleza ma feelings moyoni mwake mwisho wa siku mgodi ukitema aah unabadilisha leo x trail, kesho mark x na huku amani ipo moyoni, vinchechede vikimtega husband vinaambulia maumivu as mjanja umeshawai nafasi moyoni kitambo,
Chunguza wenye vipato wengi vya kutosha wake zao walianza nao kipindi gani utaona,
Maana kuna mdada secretary hapa ofisin kwetu huyo mumewe alivyo mdau hadi mabos wanamuogopa as kwanza gari tu anazoendesha unaogopa, but anakwambia alipotoka na mumewe yaani anajua mungu tu. Kiasi kwamba wanaomjua wanakubali maisha hayana mwenyewe..
Ukichukua maneno ya mwanzo ya post hii ulinganishe na post zako nyingine ktk uzi huu, utagundua kuwa unajichanganya sana! Pole sana dadaangu.nimelelewa maisha ya dini na
nina mheshimu mungu nina maadili na heshima ila ninachokiamini sio lazima
kila unachoomba upate, dmndio maana maisha yametofautiana matajiri na
maskini sio kwamba maskini hawaombi nao pia wanaomba ila ndio hivyo, sio lazima kila bidada aolewe
noo niko siriazi kweli sina hamu ya kuolewa, bf ninae ila nitazaa nae tuu ndio mpango wangu.Not true, si kwamba huhitaji kuolewa. Its just that at this point uko very frustrated, and you are reacting kwa njia ambayo unahisi itakufanya ujisikie vizuri. Kama kweli ungekuwa hutaki mume, usingeandika maneno meengi kuelezea kwamba unajihisi u mama na familia tayari halafu huna baba, then unataka kuzaa na yeyote nk. Trust me, its normal. All you need is a man that deserves you, and a bit of luck. You need to let go of the denial state you are going thru. Mk1
unaongea tuu wewe! Kuoa au kuolewa sio lazima.