Siha Waomba Ukombozi CHADEMA

Mkuu saidia jamvi kutaja maendeleo ya Siha yaliyo letwa na Mwanri kwa mujibu wa taarifa zako ili tukate mzizi wa fitina tafadhali mno .Haya uwanja ni wako jimwage

Mh. Mwanri kwa kushirikiana na wanaSiha ameweza kuwatetea wananchi na kuhakikisha barabara, maji, umeme, hospitals, shule za msingi na secondary nk zinaboreshwa na kujengwa. Lakini kubwa kuliko lote ambalo linakuja na investments kubwa toka serikalini na mashirika ni kufanya jimbo la Siha kuwa WILAYA YA SIHA 2005
 
Mbona umeongea kama mtu mwenye mapungufu kiakili? Chadema inamkomboa nani? Uhuru tulishaupata tuelezeni sera zenu mtafanya nini?
Chama
Gongo la Mboto DSM
Unafahamu maana ya uhuru wewe?
 
Katika hali isiyo ya Kawaida Kamanda Chadema imeombwa kuwapatia Ukombozi wa kweli Wana wa Siha baada ya Miaka 50 ya Uhuru.Hili limejiri Usharika wa Kashashi mtaa wa Naweru kwenye Harambee ya kupaua kanisa baada ya Kamanda Kombe kushiriki akiwa amevalia vazi la Chama Combat Nyeusi.Tawi jipya limefungulia Naweru jirani na Kanisa na Kazi ya Ukombozi imeanza rasmi

Siasa zinapohamia makanisani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom