Sigombei ubunge Arusha kwa tiketi chama chochote kile: GODLESS

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Kuna watu wamekuwa wakiniambia eti nikagombee ubunge kwa tiketi ya cdm kule arusha eti kwa vile jina la mbunge aliyeenguliwa GODBLESS na hili la kwangu GODLESS yanalandana. Mimi nasema siwezi kwenda arusha kufuata ubunge, ni hayo tu.
 
Yani hata vyama vya upinzani visigombee uwe peke yako na bado hautangia katika wadhifa huo. kajaribu lakini
 
Arusha atagombea lusinde ili awe na majimbo 2 kwani chadema na wananchi tunamkubali sana.
LONG LIVE LUSINDE.
 
Back
Top Bottom