Sign out option haionekani ndani ya inbox yangu ya yahoo

Manyovu

Member
May 20, 2011
78
71
Wandugu, msaada wenu unahitajika. Nina kama siku tatu hivi sioni sign out option nikiwa kwenye inbox yangu ya yahoo. Nasign kawaida kuingia lakini nikitaka kutoka nalazimika kuexit kwa kufunga kabisa internet window.

Je hii inaweza kuwa imesababishwa na nini? na je nifanyeje ili niione tena hiyo option ya kusign out.

Nasubiri michango yenu ya jinsi kutatua tatizo hili.
 
Wandugu, msaada wenu unahitajika. Nina kama siku tatu hivi sioni sign out option nikiwa kwenye inbox yangu ya jamii foram. Nasign kawaida kuingia lakini nikitaka kutoka nalazimika kuexit kwa kufunga kabisa internet window.

Je hii inaweza kuwa imesababishwa na nini? na je nifanyeje ili niione tena hiyo option ya kusign out.

Nasubiri michango yenu ya jinsi kutatua tatizo hili.
 
Back
Top Bottom