Bunge limekubali kujadiliwa kwa hoja hio iliyowasilishwa na bwana Jafu mbunge wa ccm, imeona CDM wakiwasilisha watajipatia masifa kwa Umma
Mbona CCM inavyote. Ukimwi ,Cancer, Kisukari na imeshapigwa stroke?bora ukimwi kuliko ccm
Mbona CCM inavyote. Ukimwi ,Cancer, Kisukari na imeshapigwa stroke?
Wazee wanaandamana, Walimu Wanaandamana, Madaktari wanaandamana, Wanafunzi vyuoni wanaandamana, Watoto wa shule za msingi wanaandamana
MKULIMA NAYE AKIANDAMANA BASI GANDO LIMEKATIKA[/QUOTE ( Jamani Tanzania sasa hawa Wazee Jamani si wangeketi nyumbani kula pensheni yao tu na kutuombea baraka jamani?? Angalia wanavyoteseka. Mungu atusaidie!!
wazee wa magamba walishaidaka mapema wakaifanya ya kwao kujikosha. walishituka itaingia kwenye ajenda za m4c iongeze credit. ninachojiuliza ni je, haya marekebisho yalipitaje? si ni hizihizi taasisi zinazosimamiwa na serikali ya gambaz ndo zilihusika???? iweje leo tena hawahawa magamba ndo wanajifanya kwenda eti! kuwasikiliza wafanyakazi wanasema nini. ina maana walitarajia watanzania watakubali tu kuchinjwa kikondoo? shame on you gambaz!